OCCID Dominik
JF-Expert Member
- Apr 29, 2024
- 218
- 395
Karibu soweto bwana Liverpool VPN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha kazi ininyime muda wa starehe?Dah halafu wewe ndio mtumishi tunategemea ulete tija kwenye utendaji, kwa style hii kweli unaweza hata kuwa na muda kuset mipango na kuleta ubunifu kwenye kazi?
Ni PM namba yako baadae tuwe wote MBEYA PAZURI.Nilivosikia bata la 88 nimekimbia chap🤦♀️🤦♀️
Mbeya DC kwa mshkaji wangu sanaa, afisa mmoja mkali sanaaa.Sijaona ukiweka walau hata ratiba moja Mbeya Dc hivyo nichukue fursa hii kukuomba ikiwa utawiwa funga safari mpaka umalila ,nitakupokea na mengine nitahusika hakika utafurahia kuwaona wamalila wakati wa kiangazi na fujo za gambe za kila aina .
Karibu sana
Dah hapo utakuwa umenitenga mzee japo ni chapu kwa haraka ukiingilia magereza ya Songwe ,chapu uko umalila niliyopo Mimi ni mwendo wa dakika 45 kutoka mbaliziMbeya DC kwa mshkaji wangu sanaa, afisa mmoja mkali sanaaa.
Naogopa kumtaja raia wataconnect dots, maana JF ni kutokujulikana tu...!!!
Anyway Mbeya DC ni mbali, kuja mimi mpaka huko Mbalizi mmmh mbali sanaaa..!!!
#YNWA
Mwaka huu umelipwa? Niliona jamaa mmoja anasema mwaka jana hukulipwa ukawa unabembeleza bia kwa wenzako na ukawa unakata mauno ili upewe bia pale Mbeya Pazuri. 😀😃😄😁Nyumbani ni mimi mwenyewe am a single boy..!!!
#YNWA
Usiiamini sana JF. Hizo ni sound za JF tu.Dah ila kuna kitu kidoogo nimenote hapa toka kwa huyu bwana liver pool VPN,thatz why jamaa ndoa na biashara vimemshinda😅😅hebu imagine mtu anakunywa pombe week kweli,huyu si anapata hangover ya mwezi wakuu🤣
HahaaaaaWe save to invest.
Ila acheni kula makande kisa mnajenga makwenu.
#YNWA
Mbw(a) yulee achana nae.Mwaka huu umelipwa? Niliona jamaa mmoja anasema mwaka jana hukulipwa ukawa unabembeleza bia kwa wenzako na ukawa unakata mauno ili upewe bia pale Mbeya Pazuri. 😀😃😄😁
Mbeya ni kijiji cha ujamaa hakuna jiji hapoINTRODUCTION:-
Wale wenye Nchi nawasalimia UBAYA UBWELAAAA
Wale wananchi wenzangu, wanasalimia kwa "Wananchiiiiiiii"
Twende kwenya mada ....
BODY:-
Nanenane ndio hiyooo, na kama kawa nimeshafika Mbeya tokea 31/07.
Na hii ndio ratiba ya gambe ....
1. 31/08 bata lili liwa Rombo Bar, Kabwe, alongside njia ya kwenda Makunguru/Isanga.
2. 01/08 ndani ya City Garden ulikuwa ni mwendo wa Bapa na Kuku choma
3. 02/08 Kuna ka-pub fulani kipo nje ya Mbeya Pazuri. Mwamba sanaaa, mshikaji wangu hatari wa moja ya benki Mbeya aliniita. Angusha sanaaa serengeti litee za kutosha na mishkaki.
4. 03/08 Siku Ubaya Ubwela, saa 12 jioni nitakua Mbeya pazuri mpaka mida ya usiku unene. Wale twiga ile mbuga pale SAE (Mbeya Pazuri) pale ni nomaaa ...!!!
5. 04/08 Siku ya Wananchi nitakuwa Mbeya Pazuri, ni mwendo wa Biaaaaaa...!!!
6. 05/08 kuna mwamba sanaa kutoka moja wapo ya halmashauri Iringa anawasili, huyu mwana anapenda bar za uswazi. Tutaenda Nasoma kula biaaa
7. 06/08 Nitalala guest kwanza kufanya Factory setting.
8. 07/08 tunaenda kumpa kampani mwamba kafungua bar mitaa ya Simike...!!!
9. 08/08 Siku ya Derby, ni palepale Mbeya Pazuri tukazidandie zile twiga.
10. 09/08 si ndio siku ya mwisho.
Hii haina kulala, nikukesha kuzurura kila bar. Ikifika saa 1 asubuhi tunalifata gari lilipo tunaanza safari ya kurudi home.
CONCLUSION.
Ujana ndio huu
Per diem haijengi nyumba, ulipewa kuitumia.
Tuendelee kutafuta helaa..
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hawa ndio aina ya watu Serikali na Makampuni yanawapeleka kwenye Maonyesho ya Kitaifa. Wana Zero Stratigize capacity, full chawaz, Zero productivity lkn kwakuwa ndio wanalewa na mabosi wanakesha baaa asbh unawakuta kwenye mabanda ya Nane Nane wanasinzia na kupiga mihayo tu saaaaana watajikita kuomba namba za warembo.INTRODUCTION:-
Wale wenye Nchi nawasalimia UBAYA UBWELAAAA
Wale wananchi wenzangu, wanasalimia kwa "Wananchiiiiiiii"
Twende kwenya mada ....
BODY:-
Nanenane ndio hiyooo, na kama kawa nimeshafika Mbeya tokea 31/07.
Na hii ndio ratiba ya gambe ....
1. 31/08 bata lili liwa Rombo Bar, Kabwe, alongside njia ya kwenda Makunguru/Isanga.
2. 01/08 ndani ya City Garden ulikuwa ni mwendo wa Bapa na Kuku choma
3. 02/08 Kuna ka-pub fulani kipo nje ya Mbeya Pazuri. Mwamba sanaaa, mshikaji wangu hatari wa moja ya benki Mbeya aliniita. Angusha sanaaa serengeti litee za kutosha na mishkaki.
4. 03/08 Siku Ubaya Ubwela, saa 12 jioni nitakua Mbeya pazuri mpaka mida ya usiku unene. Wale twiga ile mbuga pale SAE (Mbeya Pazuri) pale ni nomaaa ...!!!
5. 04/08 Siku ya Wananchi nitakuwa Mbeya Pazuri, ni mwendo wa Biaaaaaa...!!!
6. 05/08 kuna mwamba sanaa kutoka moja wapo ya halmashauri Iringa anawasili, huyu mwana anapenda bar za uswazi. Tutaenda Nasoma kula biaaa
7. 06/08 Nitalala guest kwanza kufanya Factory setting.
8. 07/08 tunaenda kumpa kampani mwamba kafungua bar mitaa ya Simike...!!!
9. 08/08 Siku ya Derby, ni palepale Mbeya Pazuri tukazidandie zile twiga.
10. 09/08 si ndio siku ya mwisho.
Hii haina kulala, nikukesha kuzurura kila bar. Ikifika saa 1 asubuhi tunalifata gari lilipo tunaanza safari ya kurudi home.
CONCLUSION.
Ujana ndio huu
Per diem haijengi nyumba, ulipewa kuitumia.
Tuendelee kutafuta helaa..
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ila we jamaa ni wa ajabu aiseee.Hawa ndio aina ya watu Serikali na Makampuni yanawapeleka kwenye Maonyesho ya Kitaifa. Wana Zero Stratigize capacity, full chawaz, Zero productivity lkn kwakuwa ndio wanalewa na mabosi wanakesha baaa asbh unawakuta kwenye mabanda ya Nane Nane wanasinzia na kupiga mihayo tu saaaaana watajikita kuomba namba za warembo.
Tukutane hapo MP,kuanzia saa 8 niko hapo nawacheki wenye nchi mabingwa wa nchi
Huku asingetamanika kwa vumbi uso ungekuwa hauonekani angekuwa anajisonyasonya kila dakikaSijaona ukiweka walau hata ratiba moja Mbeya Dc hivyo nichukue fursa hii kukuomba ikiwa utawiwa funga safari mpaka umalila ,nitakupokea na mengine nitahusika hakika utafurahia kuwaona wamalila wakati wa kiangazi na fujo za gambe za kila aina .
Karibu sana