Hili hapa Bata la nanenane 2024 ndani ya Jiji la Mbeya...!!

Dah halafu wewe ndio mtumishi tunategemea ulete tija kwenye utendaji, kwa style hii kweli unaweza hata kuwa na muda kuset mipango na kuleta ubunifu kwenye kazi?
Unamaanisha kazi ininyime muda wa starehe?
Kwamba kazi inifanye nisi-enjoy maisha???

#YNWA
 
Mbeya DC kwa mshkaji wangu sanaa, afisa mmoja mkali sanaaa.

Naogopa kumtaja raia wataconnect dots, maana JF ni kutokujulikana tu...!!!

Anyway Mbeya DC ni mbali, kuja mimi mpaka huko Mbalizi mmmh mbali sanaaa..!!!

#YNWA
 
Mbeya DC kwa mshkaji wangu sanaa, afisa mmoja mkali sanaaa.

Naogopa kumtaja raia wataconnect dots, maana JF ni kutokujulikana tu...!!!

Anyway Mbeya DC ni mbali, kuja mimi mpaka huko Mbalizi mmmh mbali sanaaa..!!!

#YNWA
Dah hapo utakuwa umenitenga mzee japo ni chapu kwa haraka ukiingilia magereza ya Songwe ,chapu uko umalila niliyopo Mimi ni mwendo wa dakika 45 kutoka mbalizi
 
Dah ila kuna kitu kidoogo nimenote hapa toka kwa huyu bwana liver pool VPN,thatz why jamaa ndoa na biashara vimemshindaπŸ˜…πŸ˜…hebu imagine mtu anakunywa pombe week kweli,huyu si anapata hangover ya mwezi wakuu🀣
Usiiamini sana JF. Hizo ni sound za JF tu.
 
Mwaka huu umelipwa? Niliona jamaa mmoja anasema mwaka jana hukulipwa ukawa unabembeleza bia kwa wenzako na ukawa unakata mauno ili upewe bia pale Mbeya Pazuri. πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜
Mbw(a) yulee achana nae.

Kila mwaka (huu ni mwaka wa 6 mfululizo) tunalipwa.

#YNWA
 
Kwenye ratiba yako ongeza na Mwailubi, Mbeya pazuri ni pa kuanzia tu mida mibovu nenda City Pub Lounge pale mbuga imechangamka wanyama wa viwango.
 
Safi sana mdau..... Wala gambe tunawaombea mpate safari, warsha na makongsmano. Huwa sio wachoyo Kwa Wana yaani huzungusha lite za kutosha Hadi wanalipia venue na mgeni wa venue anapata chake.


Mnaowaza kujengea posho msipate kabisa hizo fursa.....
 
Mbeya ni kijiji cha ujamaa hakuna jiji hapo
 
Hawa ndio aina ya watu Serikali na Makampuni yanawapeleka kwenye Maonyesho ya Kitaifa. Wana Zero Stratigize capacity, full chawaz, Zero productivity lkn kwakuwa ndio wanalewa na mabosi wanakesha baaa asbh unawakuta kwenye mabanda ya Nane Nane wanasinzia na kupiga mihayo tu saaaaana watajikita kuomba namba za warembo.
 
Ila we jamaa ni wa ajabu aiseee.

Kwamba ulitaka nishinde kanisani?

Hutaki kabisa mtu ale bata??

Nakushauri tu;.
Kuna maisha huko nje ya hiyo ajira yako, YAISHI.

#YNWA
 
Huku asingetamanika kwa vumbi uso ungekuwa hauonekani angekuwa anajisonyasonya kila dakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…