Hili hapa kombe la Caf Confederation Cup ambalo Yanga anaenda kulibeba

mwarabu feki

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
811
Reaction score
1,811
Unaambiwa hili kombe[emoji471] limetengenezwa Kwa madini ya Gold tupu[emoji966][emoji966]
Yaani sio kama Yale makombe yaliyotengenezwa kwa Alluminium au mabati

Hongera sana mabingwa watarajiwa wa CAFCC Young Africans kwa kuleta heshima kubwa kwa nchi ya [emoji1241] maana itakuwa ni mara ya kwanza katika Historia ya kuumbwa nchi ya [emoji1241] kupokea kombe hili[emoji122][emoji122][emoji122]

Wale ndugu zangu wasio na kombe lolote huu Uzi hauwahusu kaeni mbali kabisaa....
 
Kikombe kina rangi ya mashoga pole Yanga mdebwee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…