ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Usinisahau kwenye ufalume wakoSipati picha siku hiyo nitalewa wiki nzima kabisa na naweza kununua pombe zote kwenye baa nitakayokuwepo tiketi ya kuelewa uwe na jezi ya yanga tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinisahau kwenye ufalume wakoSipati picha siku hiyo nitalewa wiki nzima kabisa na naweza kununua pombe zote kwenye baa nitakayokuwepo tiketi ya kuelewa uwe na jezi ya yanga tu
Hadi Yanga tumefika hatua hii ya fainali basi We utakuwa umeshajinyea mara nyingi sana[emoji23][emoji23]Ndoto hiyo amka utajinyea
Muwe na akiba za maneno Makolokolo.Labda mliibe
Kwasababu Morrison kibaka yupo mtaliiba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Mara hii kombe linakuja homeMaskini akipata matako hulia mbata. Sijui mkipigwa na mwarabu mtaficha wapi sura zenu
Usisahau kuimba kupokezanaMakolo wanaugulia maumivu msimu huu [emoji23]
Mungu atusaidie Wananchi tubebe hilo kombe la CAFCCL 2023 MAY angalau tupate cha kuwasimulia Watoto zetu na Wajukuu wetu, Amina.Liwake jua inyeshe Mvua ilo kombe lazima lije [emoji1241][emoji1241]
sikujibu mpaka tutakapo kabiziwa kikombe chetu cha cafUsisahau kuimba kupokezana
Unatanga tanga ume change ID toka Marumo sasa hivi USM AlgerLabda mliibe
Kwasababu Morrison kibaka yupo mtaliiba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
[emoji23][emoji23][emoji23] hivi uyo kwenye avatar yako ni shabiki wa Simba?Kombe utazani kibuyu cha kunywea kimpumu
Uyo ni Mimi mkuu[emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23] hivi uyo kwenye avatar yako ni shabiki wa Simba?
Labda cuf ya lipumbasikujibu mpaka tutakapo kabiziwa kikombe chetu cha caf
tuombe uhai tuLabda cuf ya lipumba
Uyo ni changudoa mkuu Achana naeUnatanga tanga ume change ID toka Marumo sasa hivi USM Alger
Na iwe hivyo mkuu[emoji120]Mungu atusaidie Wananchi tubebe hilo kombe la CAFCCL 2023 MAY angalau tupate cha kuwasimulia Watoto zetu na Wajukuu wetu, Amina.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ni Wivu tu unakusumbua[emoji706]Kombe utazani kibuyu cha kunywea kimpumu
Ila ndio ukweli, Simba walizembea Sana kuwatoaa WydadHakuna kisichowezekana. Muhimu Umoja na kujikubalisha. Uwezo upo.
MWARABU alikuwa anatisha zamani huko enzi za Ujamaa na Kujitegemea, siku hizi anafungika freshi tu.
Makolo wenyewe walizembea tu pale kumtoa Wydad.