chama konokono
Senior Member
- Apr 27, 2023
- 103
- 226
Hili kombe likitua hapa tz haki ya Mungu Kuna watu watajamba mavi[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masikini Yanga watalikosa hivi hivi kwa kulitizama tu.Unaambiwa hili kombe[emoji471] limetengenezwa Kwa madini ya Gold tupu[emoji966][emoji966]
Yaani sio kama Yale makombe yaliyotengenezwa kwa Alluminium au mabati
Hongera sana mabingwa watarajiwa wa CAFCC Young Africans kwa kuleta heshima kubwa kwa nchi ya [emoji1241] maana itakuwa ni mara ya kwanza katika Historia ya kuumbwa nchi ya [emoji1241] kupokea kombe hili[emoji122][emoji122][emoji122]
Wale ndugu zangu wasio na kombe lolote huu Uzi hauwahusu kaeni mbali kabisaa....
View attachment 2627945View attachment 2627946
Baada hapo tukuite Dog au una jina lingine, tuambie tuu maana JF ipo sisi tutakukumbusha.Mchujue kombe kwenye ardhi ya mwarabu 🤣🤣🤣 nimekaa pale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah hichi kikombe ndio tunaenda kukichukua kwa mara ya kwanza sitaki kuamini
Alarm wameshapigiwa leo, badoooo tukio lenyewee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchujue kombe kwenye ardhi ya mwarabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimekaa pale.
Hapaaa enyewee wamekanyagwaaaa tayariiiiYaani hata mkishinda tano hapa kule lazima mnye, tuwekeane dau mkuu, kama mechi mngekuwa mnamalizia hapa sawa ila kule mmmmh.
Tumeanzaaa km hiviiiiiiNajua mambo yakienda kinyume kuna watu watakuja kuufufua huu uzi
Mbna umepoteaaaa leoooo???Mashabiki wa simba mtanuna sana mwaka huu.