Hili hapa kombe la Caf Confederation Cup ambalo Yanga anaenda kulibeba

Hili hapa kombe la Caf Confederation Cup ambalo Yanga anaenda kulibeba

Hili kombe likitua hapa tz haki ya Mungu Kuna watu watajamba mavi[emoji23][emoji23]
 
Unaambiwa hili kombe[emoji471] limetengenezwa Kwa madini ya Gold tupu[emoji966][emoji966]
Yaani sio kama Yale makombe yaliyotengenezwa kwa Alluminium au mabati

Hongera sana mabingwa watarajiwa wa CAFCC Young Africans kwa kuleta heshima kubwa kwa nchi ya [emoji1241] maana itakuwa ni mara ya kwanza katika Historia ya kuumbwa nchi ya [emoji1241] kupokea kombe hili[emoji122][emoji122][emoji122]

Wale ndugu zangu wasio na kombe lolote huu Uzi hauwahusu kaeni mbali kabisaa....
View attachment 2627945View attachment 2627946
Masikini Yanga watalikosa hivi hivi kwa kulitizama tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchujue kombe kwenye ardhi ya mwarabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimekaa pale.
Alarm wameshapigiwa leo, badoooo tukio lenyewee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani hata mkishinda tano hapa kule lazima mnye, tuwekeane dau mkuu, kama mechi mngekuwa mnamalizia hapa sawa ila kule mmmmh.
Hapaaa enyewee wamekanyagwaaaa tayariiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kutoka kupambania kombe mpaka saiv kupambania medali😆😆😆😆😆
Utopolo 🗑️
 
Back
Top Bottom