Hili huwa linanikuta tu Mimi peke yangu au kuna Wenzangu wengi nao hukumbana nalo sehemu mbalimbali?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hivi ni kwanini ama ukiingia tu Ofisini kwa Mtu au ukikutana na Mtu ' anaperuzi ' Simu yake na akiwa ' anaukodolea ' Mtandao huu wa JamiiForums haraka sana utaona anauondoa / anauzima kisha anaanza ' Kukuzuga ' na Kukupigisha ' Stori ' zingine kabisa?

Kwani kuna ubaya gani kama An Eagle akikutembelea Ofisini Kwako au akikukuta unaendelea Kuperuzi Mtandao huu wa JamiiForums na usishtuke? Hivi kama Wewe kwa mfano ni ' Member ' mzuri tu na huwa unachangia Kimaadili hapa kwanini uogope Mtu mwingine kuijua tu ID yako ili ikiwezekana basi hata Siku zingine muwe mnapiga zenu tu ' Soga ' hapa hapa na Kuuendeleza Urafiki wenu?

Nimeandika huu Uzi kwakuwa si muda mrefu umepita kuna Mtu nimetoka Kuonana nae Kwake na bahati mbaya nilivyoingia tu nikakuta Laptop yake iko kwa mbele hivi wazi na yupo JF ( tena amelogi Ini kabisa kwa ID yake ) na alikuwa ametoka ila Mimi nilivyoingia tu alikimbia upesi na kuifunika hadi akadondosha Glasi yake ya Maji katika Kapeti lake la Kituruki huku akiwa anahema ndipo akanikaribisha.

Tumepiga zetu ' Soga ' za Kutosha na nadhani baadae alitaka Kujiridhisha Kwangu An Eagle kama labda nami naujua huu Mtandao na ni ' Member ' hapa haraka sana nikaruka Kimanga kabisa na Kumjibu kuwa ni Mtandao ambao ndiyo Kwanza nimeanza Kuusikia kutoka Kwake na nikamwomba anipe Maelezo yake zaidi ambapo alinipa huku akinitaka nami niwe napenda Kuutembelea na pia nijisajili na Mimi nikamkubalia basi akafurahi kwelikweli lakini laiti angejua angekuwa mdogo kama Kidonge cha Piriton.

Je, hii hali huwa nakumbana nayo peke yangu tu labda tupo wengi?

Karibuni.
 
Ukiona hivyo wamekushtukiwa upo kazini. Natumai umenielewa kulingana nauzoefu wako waile kazi.staki swali
 
Huyo rafiki yako akipita hapa kwa huu uzi nawaza tu!

Atakua ameshakufaham bila jasho.
 
Sasa Mimi ni Mvuvi tu wa Kipemba Ndugu na Kazi yangu ni ya Kuvua na Kupara tu Samaki kwanini wanihisi ndivyo sivyo? Na nilienda tu pale Kumwambia kama anataka Samaki kwani Saa 7 Kamili Usiku huu nikiwa natoka hapa ( Log Out ) kama kawaida yangu naelekea Baharini Kukesha Kuvua Samaki hadi Asubuhi na kwa Mvua hii nahisi naweza nisipate Samaki wengi kama kawaida yangu hivyo nilikuwa nachukua tu ' Oda ' zangu mapema Ndugu.
 
Huyo rafiki yako akipita hapa kwa huu uzi nawaza tu!

Atakua ameshakufaham bila jasho.

Na ndiyo dhumuni langu ili hatimaye ajione jinsi alivyokuwa akipoteza muda wake bure Kunihadaa na Mimi nilivyomuweza.
 
Hivi ni kwanini ama ukiingia tu Ofisini kwa Mtu au ukikutana na Mtu ' anaperuzi ' Simu yake na akiwa ' anaukodolea ' Mtandao huu wa JamiiForums haraka sana utaona anauondoa / anauzima kisha anaanza ' Kukuzuga ' na Kukupigisha ' Stori ' zingine kabisa?

Kwani kuna ubaya gani kama An Eagle akikutembelea Ofisini Kwako au akikukuta unaendelea Kuperuzi Mtandao huu wa JamiiForums na usishtuke? Hivi kama Wewe kwa mfano ni ' Member ' mzuri tu na huwa unachangia Kimaadili hapa kwanini uogope Mtu mwingine kuijua tu ID yako ili ikiwezekana basi hata Siku zingine muwe mnapiga zenu tu ' Soga ' hapa hapa na Kuuendeleza Urafiki wenu?

Nimeandika huu Uzi kwakuwa si muda mrefu umepita kuna Mtu nimetoka Kuonana nae Kwake na bahati mbaya nilivyoingia tu nikakuta Laptop yake iko kwa mbele hivi wazi na yupo JF ( tena amelogi Ini kabisa kwa ID yake ) na alikuwa ametoka ila Mimi nilivyoingia tu alikimbia upesi na kuifunika hadi akadondosha Glasi yake ya Maji katika Kapeti lake la Kituruki huku akiwa anahema ndipo akanikaribisha.

Tumepiga zetu ' Soga ' za Kutosha na nadhani baadae alitaka Kujiridhisha Kwangu An Eagle kama labda nami naujua huu Mtandao na ni ' Member ' hapa haraka sana nikaruka Kimanga kabisa na Kumjibu kuwa ni Mtandao ambao ndiyo Kwanza nimeanza Kuusikia kutoka Kwake na nikamwomba anipe Maelezo yake zaidi ambapo alinipa huku akinitaka nami niwe napenda Kuutembelea na pia nijisajili na Mimi nikamkubalia basi akafurahi kwelikweli lakini laiti angejua angekuwa mdogo kama Kidonge cha Piriton.

Je, hii hali huwa nakumbana nayo peke yangu tu labda tupo wengi?

Karibuni.
Kwa nn na ww ulikataa ? Vipi ile id yako nyingine ? Ni swali tu usifike mbali
 
Na ndiyo dhumuni langu ili hatimaye ajione jinsi alivyokuwa akipoteza muda wake bure Kunihadaa na Mimi nilivyomuweza.

Hakua anakuhadaa, wewe ndio umemhadaa kwa kujifanya haujawahi kuisikia JF, yeye amekua muwazi kwamba yuko JF akaenda mbali zaidi kukuelimisha inavyotumika akifikiria kweli hauijui.

Unakubali kuhatarisha urafiki kwa thamani ndogo namna hii? Utakuja kukosa mambo ya maana bila sababu
 
Hakya anakuhadaa, wewe ndio umemhadaa kwa kujifanya haujawahi kuisikia JF, yeye amekua muwazi kwamba yuko JF akaenda mbali zaidi kukuelimisha.

Unakubali kuhatarisha urafiki kwa thamani ndogo namna hii? Utakuja kukosa mambo ya maana bila sababu

Itakuchukua muda mrefu sana Wewe na wengi wenu hapa Kunielewa hasa aina yangu na Mbinu zangu za ' Kiuwasilishaji ' hapa. Kuna maelezo mengine nimeyaweka hapa ' Kiutundu / Kiusanii ' tu ili ' Kunogesha ' huu Mjadala ila nia Kuu ya huu Uzi ni kwanini Watu ukiwakuta ' wanakodolea ' huu Mtandao wa JF huwa wanaficha na hawataki wajulikane ID's zao? Labda nikutoe tu hofu na Mungu Shahidi hakuna Mtu yoyote yule ambaye nimeenda Kwake leo na nikaona ID yake ya hapa JF ila ni Ujanja wangu wa Kiuandishi ili ' Kuichagiza ' tu hii Mada.
 
Wasipoficha ID zao haitakua JF tena, itapoteza maana yake halisi.

Hata kesi inayoendelea dhidi ya JF ingeisha kitambo kama sio kutokuwepo kabisa.
 
Hiyo ID nyingine ni ipi? Na kwanini niwe na ID' s nyingi hapa wakati hii hii ya An Eagle tayari ' imeshabamba ' hapa Jamvini?
Zote zinabamba ila kama huna mbili basi fresh maana hii pia nakuelewa kinoma noma mkuu. Asante kwa ufafanuzi.
 
Kwako mwalim Kashasha
 
Attachments

  • Screenshot_20191008-204750.png
    Screenshot_20191008-204750.png
    74 KB · Views: 2
Hivi ni kwanini ama ukiingia tu Ofisini kwa Mtu au ukikutana na Mtu ' anaperuzi ' Simu yake na akiwa ' anaukodolea ' Mtandao huu wa JamiiForums haraka sana utaona anauondoa / anauzima kisha anaanza ' Kukuzuga ' na Kukupigisha ' Stori ' zingine kabisa?

Kwani kuna ubaya gani kama An Eagle akikutembelea Ofisini Kwako au akikukuta unaendelea Kuperuzi Mtandao huu wa JamiiForums na usishtuke? Hivi kama Wewe kwa mfano ni ' Member ' mzuri tu na huwa unachangia Kimaadili hapa kwanini uogope Mtu mwingine kuijua tu ID yako ili ikiwezekana basi hata Siku zingine muwe mnapiga zenu tu ' Soga ' hapa hapa na Kuuendeleza Urafiki wenu?

Nimeandika huu Uzi kwakuwa si muda mrefu umepita kuna Mtu nimetoka Kuonana nae Kwake na bahati mbaya nilivyoingia tu nikakuta Laptop yake iko kwa mbele hivi wazi na yupo JF ( tena amelogi Ini kabisa kwa ID yake ) na alikuwa ametoka ila Mimi nilivyoingia tu alikimbia upesi na kuifunika hadi akadondosha Glasi yake ya Maji katika Kapeti lake la Kituruki huku akiwa anahema ndipo akanikaribisha.

Tumepiga zetu ' Soga ' za Kutosha na nadhani baadae alitaka Kujiridhisha Kwangu An Eagle kama labda nami naujua huu Mtandao na ni ' Member ' hapa haraka sana nikaruka Kimanga kabisa na Kumjibu kuwa ni Mtandao ambao ndiyo Kwanza nimeanza Kuusikia kutoka Kwake na nikamwomba anipe Maelezo yake zaidi ambapo alinipa huku akinitaka nami niwe napenda Kuutembelea na pia nijisajili na Mimi nikamkubalia basi akafurahi kwelikweli lakini laiti angejua angekuwa mdogo kama Kidonge cha Piriton.

Je, hii hali huwa nakumbana nayo peke yangu tu labda tupo wengi?

Karibuni.
Una elements za usnitch we we, kama umeweza kumkataa mshkaji kisa mtandao tu, basi huwezi kua mwana ila ni snitch mzuri tu
 
Kuna maswali ya kitoto sana
 
Itakuchukua muda mrefu sana Wewe na wengi wenu hapa Kunielewa hasa aina yangu na Mbinu zangu za ' Kiuwasilishaji ' hapa. Kuna maelezo mengine nimeyaweka hapa ' Kiutundu / Kiusanii ' tu ili ' Kunogesha ' huu Mjadala ila nia Kuu ya huu Uzi ni kwanini Watu ukiwakuta ' wanakodolea ' huu Mtandao wa JF huwa wanaficha na hawataki wajulikane ID's zao? Labda nikutoe tu hofu na Mungu Shahidi hakuna Mtu yoyote yule ambaye nimeenda Kwake leo na nikaona ID yake ya hapa JF ila ni Ujanja wangu wa Kiuandishi ili ' Kuichagiza ' tu hii Mada.
Kwanini uijue?
 
Huu ni mtandao wa siri, ko mtu kuonekanaonekana uko umu anaweza kukuuliza username yako ikawa kisanga,
 
Itakuchukua muda mrefu sana Wewe na wengi wenu hapa Kunielewa hasa aina yangu na Mbinu zangu za ' Kiuwasilishaji ' hapa. Kuna maelezo mengine nimeyaweka hapa ' Kiutundu / Kiusanii ' tu ili ' Kunogesha ' huu Mjadala ila nia Kuu ya huu Uzi ni kwanini Watu ukiwakuta ' wanakodolea ' huu Mtandao wa JF huwa wanaficha na hawataki wajulikane ID's zao? Labda nikutoe tu hofu na Mungu Shahidi hakuna Mtu yoyote yule ambaye nimeenda Kwake leo na nikaona ID yake ya hapa JF ila ni Ujanja wangu wa Kiuandishi ili ' Kuichagiza ' tu hii Mada.
Mkuu una roho nzuri sana kuwafafanulia mpaka kiwango hiki cha utupu kabisa, cha kushangaza bado watakuja tena, kiukweli huwa nakubali sana uwasilishaji wako wa mada (ni zaidi ya ule wa kimedani)....usichoke kuwasilisha kwa njia hii tukufu kabisa.
 
Back
Top Bottom