GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hivi ni kwanini ama ukiingia tu Ofisini kwa Mtu au ukikutana na Mtu ' anaperuzi ' Simu yake na akiwa ' anaukodolea ' Mtandao huu wa JamiiForums haraka sana utaona anauondoa / anauzima kisha anaanza ' Kukuzuga ' na Kukupigisha ' Stori ' zingine kabisa?
Kwani kuna ubaya gani kama An Eagle akikutembelea Ofisini Kwako au akikukuta unaendelea Kuperuzi Mtandao huu wa JamiiForums na usishtuke? Hivi kama Wewe kwa mfano ni ' Member ' mzuri tu na huwa unachangia Kimaadili hapa kwanini uogope Mtu mwingine kuijua tu ID yako ili ikiwezekana basi hata Siku zingine muwe mnapiga zenu tu ' Soga ' hapa hapa na Kuuendeleza Urafiki wenu?
Nimeandika huu Uzi kwakuwa si muda mrefu umepita kuna Mtu nimetoka Kuonana nae Kwake na bahati mbaya nilivyoingia tu nikakuta Laptop yake iko kwa mbele hivi wazi na yupo JF ( tena amelogi Ini kabisa kwa ID yake ) na alikuwa ametoka ila Mimi nilivyoingia tu alikimbia upesi na kuifunika hadi akadondosha Glasi yake ya Maji katika Kapeti lake la Kituruki huku akiwa anahema ndipo akanikaribisha.
Tumepiga zetu ' Soga ' za Kutosha na nadhani baadae alitaka Kujiridhisha Kwangu An Eagle kama labda nami naujua huu Mtandao na ni ' Member ' hapa haraka sana nikaruka Kimanga kabisa na Kumjibu kuwa ni Mtandao ambao ndiyo Kwanza nimeanza Kuusikia kutoka Kwake na nikamwomba anipe Maelezo yake zaidi ambapo alinipa huku akinitaka nami niwe napenda Kuutembelea na pia nijisajili na Mimi nikamkubalia basi akafurahi kwelikweli lakini laiti angejua angekuwa mdogo kama Kidonge cha Piriton.
Je, hii hali huwa nakumbana nayo peke yangu tu labda tupo wengi?
Karibuni.