Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Jamaa yangu ananiambia maneno haya akiwa na huzuni sana.
Kama kuna jambo sitakuja jisamehe ni hili la kufikiria kuwa Yericko Nyerere alikuwa anafahamu mambo ya ujasusi. Hili sitajisamehe kwa kweli. Huyu jamaa alikuwa anasema Russia inawamaliza Nato na Ukrain ndani ya siku chache sana.
Ndo nikaja kushtuka. This time akiwa anamtetea Mbowe ndo nikaja kugundua Yericko ni kilaza sana. Hapo ndo nikagundua nilikuwa bwege,zoba na kilaza sana. Huyu jamaa kumbe ni kilaza sana. Maandiko mengi alikuwa anayakusanya toka kwa The bold anaenda chapisha kitabu kama vile yeye kaandika.
Nimeshangaa alishindwa fanya utafiti mdogo kugundua kuwa Lissu ndiye aliyekuwa akitakiwa na watu. Ameshindwa mshauri Mbowe kuwa alipaswa astaafu kwa heshima awaachie wengine wapambane. Yeye ameangalia zaidi tumbo lake.
Jamaa amemalizia maneno hayo akisikitika sana na kujilaani.