STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Inalipiwa hii 1MWameandika bure for limited time
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inalipiwa hii 1MWameandika bure for limited time
Inalipiwa hii 1M
Maybe offer imeisha waliandika free installation kwenye site yao. Umewapigia simu?Inalipiwa hii 1M
Unga voda unlimited ile unatumia GB zikiisha inakuwa slow, hata kama ni 500kbps na una stream 360p na kuangalia netflix low quality, ina worth it mkuu.Juzi juzi hapo nilienda Vodashop kama tatu kila mtu anasema la kwake. Hawa wanasema watanipa router ndogo ya 75,000 na kuniunga Kasi Internet, nikipata 50GB kwa mwezi zinatosha ila kifurushi cha 50,000 wanakupa 30GB na 20GB bonus. Sasa kimbembe ni kuwa hiyo router wengine wanasema ina ofa ya kuanzia ya 50GB na wengine wanasema ishaondolewa. It doesn't make sense ninunue rooter inayotumia mtandao mmoja tu na haina ofa, si ningenunua nyingine hata za 100k ila universal.
Bado kama kwenye website wamesema ina ofa alafu kwenye vituo vyao wanasema haina, basi na hiyo 20GB bonus sio guaranteed. Kwahiyo wanataka ninunue 30GB per month kwa 50,000? HESLB wakisikia hivi watalia
Ukija kwa TTCL hao ndio wabaya zaidi. Wengine wanadai wanatoa 40GB kwa 70,000 alafu router wanaiuza 120,000 kama sijasahau. Speed ndogo najua
Hapa sijui nifanye nini. Nina mambo ya kusoma na kufanyia kazi kibao nikipiga hesabu naona hazisomi
Vipi mkuu ni sahihi kununua router ya Voda au niachane nayo nichukue ya madukani mitandao yoteUnga voda unlimited ile unatumia GB zikiisha inakuwa slow, hata kama ni 500kbps na una stream 360p na kuangalia netflix low quality, ina worth it mkuu.
Kwahiyo 75,000 na connection ya watu 5 - 10Vipi mkuu ni sahihi kununua router ya Voda au niachane nayo nichukue ya madukani mitandao yote
Yes wanasema ofa ya free installation ipo.Maybe offer imeisha waliandika free installation kwenye site yao. Umewapigia simu?
Hapo nimeelewa,Yes wanasema ofa ya free installation ipo.
Wamejibu hivi
"we have a promotion to allow our new subscribers to have the installation kit for free
So for the plan of 60,000 Tsh, you have to pay for 11 months in advance to be allowed for the promotion"
Chukua ya Mitandao yote, ama kama unanunua mtandao wa simu fanya research kama inatoka lock. Vifurushi vya kibongo vinabadilika kila siku.Vipi mkuu ni sahihi kununua router ya Voda au niachane nayo nichukue ya madukani mitandao yote
Mkuu naomba unifafanulie kuhusu download, upload speed na ping.Hapo nimeelewa,
Ila ina make sense wakifanya hivyo, wabongo wangechukua dishi na kusepa, mwezi mmoja hauwezi kulipa gharama za Installation.
Mkuu naomba unifafanulie kuhusu download, upload speed na ping.
Kuna muda nikitest nikapata download ni 7Mbs na upload speed ni 30Mbs kwenye matumizi ya kawaida internet inakuwa slow sana. Ila ikiwa kinyume chake mtandao unakuwa sawa. Nashindwa kuelewa kabisa.
Viongozi wengi bado wanafikra za kizamani hawajui dunia inaendaje na inataka watu waishije ili kwenda nayo sawa.
Inalipiwa 1M
Ongeza bei ya routerLaki nane kiongozi...!
Naomba ufafanue kuhusu hichi kifurushi unlimited cha VODA.Unga voda unlimited ile unatumia GB zikiisha inakuwa slow, hata kama ni 500kbps na una stream 360p na kuangalia netflix low quality, ina worth it mkuu.
Unanunua kifurushi cha mwezi 50,000 unatumia GB zikiisha speed inapungua ila unaendelea kutumia Internet.Naomba ufafanue kuhusu hichi kifurushi unlimited cha VODA.
Tupo pamoja mkuu.Unanunua kifurushi cha mwezi 50,000 unatumia GB zikiisha speed inapungua ila unaendelea kutumia Internet.
Vyema uende ofisini kwa mara ya kwanza ama muulize mtu anayetumia akupe maelezo zaidi.