isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Chief hebu badilisha uwasilishaji nikuelewe maana toka nyuma sijakuelewa kwa hii statement!Unanunua kifurushi cha mwezi 50,000 unatumia GB zikiisha speed inapungua ila unaendelea kutumia Internet.
Vyema uende ofisini kwa mara ya kwanza ama muulize mtu anayetumia akupe maelezo zaidi.
"Unanunua kifurushi cha mwezi 50,000 unatumia GB zikiisha speed inapungua ila unaendelea kutumia Internet."
GB ?? Speed kwa GB ?? Unaendelea kutumia Internet GB zimeisha! Badili uwasilishaji nikuelewe.