Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Kiukweli, kwa wale walioishi Ulaya au hata kutembelea tu, watakubaliana na mimi kwamba hoja alizozitoa Kigwangalla na watanzania walio wengi juu ya harufu ya ubadhilifu kwenye ununuzi wa mabehewa ya SGR, inahitaji uchunguzi wa ukweli ufanyike.
Yalinunuliwa shilingi ngapi, zabuni, value for money. Serikali kama itaacha watu wanachezea tu kodi zetu ati kwasababu sasaivi watu wapo huru wanamwagilia tu moyo, kuna siku mazuri yote yatakuja kusahaulika na baya hilo moja tu litachafua kazi yote maza ameifanya.
Hayo wameleta hata matram ya zamani yale ya Ulaya hayafanani nazo kabisa. Tumekuwa dustbin.