Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Behewa dola milioni moja ni upigaji wa hali ya juuG Malisa ndio kaandika hii? Anajitia aibu tu. Sgr ya Kenya behewa zao za zamani kuliko tulizoletewa tena sio za umeme ni diesel.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Behewa dola milioni moja ni upigaji wa hali ya juuG Malisa ndio kaandika hii? Anajitia aibu tu. Sgr ya Kenya behewa zao za zamani kuliko tulizoletewa tena sio za umeme ni diesel.
Na wanafanya hivi baada ya kuwaona wabongo ni mazuzu na waoga kupindukia, ndio maana tunajificha humu na ID fakeSio police wa bongo, wanaofanya kazi kwa order za CCM
Kiukweli, kwa wale walioishi ulaya au hata kutembelea tu, watakubaliana na mimi kwamba hoja alizozitoa kigwangala na watanzania walio wengi juu ya harufu ya ubadhilifu kwenye ununuzi wa mabehewa ya SGR, inahitaji uchunguzi wa ukweli ufanyike.
Yalinunuliwa shilingi ngapi, zabuni, value for money. Serikali kama itaacha watu wanachezea tu kodi zetu ati kwasababu sasaivi watu wapo huru wanamwagilia tu moyo, kuna siku mazuri yote yatakuja kusahaulika na baya hilo moja tu litachafua kazi yote maza ameifanya.
Hayo wameleta hata matram ya zamani yale ya Ulaya hayafanani nazo kabisa. Tumekuwa dustbin.
Watanzania wengi uzuzu na uoga umewatawala ndio maana wateule wachache ndio wanaokula 🥧 ya taifa,sasa wanalithishana uongozi, Lushoto nzima ni makambas pekee wenye uwezo wa kuongoza?,kawawas pekee, familia moja ina ex president na 2×MPs?,familia moja itself 2×,Presidents? etc etc, kuna Lusindes since awamu ya kwanza hadi leo wapo in front sit!!!Polisi hawa hawa au wapo wengine?? Yaani hawa polisi wetu wafanye uchunguzi kabisa kwa haki??