Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Na utakuta mijitu ya kuupiga mwingi nayo inalalamaAisee! inafikirisha sana,kenya mabehewa ya kisasa bei ndogo,tz bei mlika mabehewa ya 1975s
Polisi hawa hawa au wapo wengine?? Yaani hawa polisi wetu wafanye uchunguzi kabisa kwa haki??Mtoa hoja hizi tume ni sehemu ya ufisadi hazihitajiki,kama unaona kuna harufu ya Rushwa, nenda police station na fungua docket ili police wafanye uchunguzi na wakijiridhia kuna ufisadi, wafanye arrest na kuwapeleka kwenye court of law, middle class tuache uzuzu wenye uoga, hapo Iran ni msichana mdogo tu aliyeanzisha push back,na sasa serikali imefutilia mbali police wale waliosababisha kisanga kile.
Sio police wa bongo, wanaofanya kazi kwa order za CCMMtoa hoja hizi tume ni sehemu ya ufisadi hazihitajiki,kama unaona kuna harufu ya Rushwa, nenda police station na fungua docket ili police wafanye uchunguzi na wakijiridhia kuna ufisadi, wafanye arrest na kuwapeleka kwenye court of law, middle class tuache uzuzu wenye uoga, hapo Iran ni msichana mdogo tu aliyeanzisha push back,na sasa serikali imefutilia mbali police wale waliosababisha kisanga kile.
Kiukweli, kwa wale walioishi ulaya au hata kutembelea tu, watakubaliana na mimi kwamba hoja alizozitoa kigwangala na watanzania walio wengi juu ya harufu ya ubadhilifu kwenye ununuzi wa mabehewa ya SGR, inahitaji uchunguzi wa ukweli ufanyike.
Yalinunuliwa shilingi ngapi, zabuni, value for money. Serikali kama itaacha watu wanachezea tu kodi zetu ati kwasababu sasaivi watu wapo huru wanamwagilia tu moyo, kuna siku mazuri yote yatakuja kusahaulika na baya hilo moja tu litachafua kazi yote maza ameifanya.
Hayo wameleta hata matram ya zamani yale ya Ulaya hayafanani nazo kabisa. Tumekuwa dustbin.
Nimesikitika sana serikali imeenda kununua tren ya mtumba. Halafu tupo uchumi wa kati wa viwanda.
Tusidanganyane Tanzania ni nchi masikini
G Malisa ndio kaandika hii? Anajitia aibu tu. Sgr ya Kenya behewa zao za zamani kuliko tulizoletewa tena sio za umeme ni diesel.View attachment 2436999kama hii ni kweli aisee TZ watu wanapiga pesa kinoma yani mtu anaweka bei zaidi ya mara 5 ya beu halisi
Halafu malisa alikuwa na heshima Sana ....kilichonishangaza ni yeye kuweka behewa za TRC ambazo sio za sgr...yaani kaweka picha ya behewa za TRC ambazo sio hizo zilizonunuliwa mradi Tu aendeleze "narrative" ya kupigwaG Malisa ndio kaandika hii? Anajitia album tu. Sgr ya Kenya behewa zao za zamani kuliko tulizoletewa tena sio za umeme ni diesel.
Mungu asaidie sana, ila mama hana kosa lolote. Mungu ampe uvumilvu tu anavyojitahidi kutafuta hela alafu wanakula wengine.Tume nayo itakula hela tena! Utakuwa ni mwendo wa kuliwa tu. Ee Mola tunaomba uiponye Tanzania yetu na viongozi tuliowapa dhamana ya kutuongoza, waache ufisadi.