Hili jambo la mabehewa liundiwe tume

 
Polisi hawa hawa au wapo wengine?? Yaani hawa polisi wetu wafanye uchunguzi kabisa kwa haki??
Watanzania wengi uzuzu na uoga umewatawala ndio maana wateule wachache ndio wanaokula 🥧 ya taifa,sasa wanalithishana uongozi, Lushoto nzima ni makambas pekee wenye uwezo wa kuongoza?,kawawas pekee, familia moja ina ex president na 2×MPs?,familia moja itself 2×,Presidents? etc etc, kuna Lusindes since awamu ya kwanza hadi leo wapo in front sit!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…