Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Nipo hapa hapa so nawapa angalizo mapema msije mkaja mmejaa upepo.
Nliambiwa jeshini lazima wapime ukubwa wa kipenyo au Radius. Nikauliza je kuna kitu kama x ray au ultra sound inatumika au anything kitaalam ukiacha njia hiyo, maana sisi wengine migongo yetu imekakamaa hatuwezi inama?
Nikaambiwa hapana. Unainama kuna mtu anakucheck. Nikasema la hasha. Maisha yangu yote nikiwa nimepata akili hakuna aliyewahi nicheki eneo hilo hata kuliona tu haiwezekani. Kama ndio hivyo basi.
Sasa kila nikimwona mwanajeshi na askari namtizama, nasema hiii. Natikisa kichwa.