Hili jambo lilinifanya nikatae kujiunga na Jeshi. Niliona ni udhalilishaji

Hili jambo lilinifanya nikatae kujiunga na Jeshi. Niliona ni udhalilishaji

Nimekaa na mwanangu mmoja mjeda hapa tunachek gem ya Uto,akawa anachungulia ninavyoperuzi JF, imekuja thread yako na yeye akawa anasoma soma aya kwa aya ghafla naona kasonya na amekua bize kucheki gem ya Uto nami ikabidi nizime data niamishe macho na mawazo kwenye gem japo natamani nimuulize bro ni kweli
 
Ugonjwa gani utaangaliwa kalioo, mara ya mwisho walitujaribu ilikuwa ni kipindi cha tezi dume na walishindwa maana hakuna mtu alikubali kukaa ule mkao eti apimwe tezi dume .
Kabisa aiseee.... Nliwaambia huo ujinga kwanza nianze kumpima mpimaji akagoma.... Nlitaka nimpime yeye nione anajisikiaje kisha nimkimbize haraka akalate maji na sabuni ninawe.... Mbwa wale...
 
Nimekaa na mwanangu mmoja mjeda hapa tunachek gem ya Uto,akawa anachungulia ninavyoperuzi JF, imekuja thread yako na yeye akawa anasoma soma aya kwa aya ghafla naona kasonya na amekua bize kucheki gem ya Uto nami ikabidi nizime data niamishe macho na mawazo kwenye gem japo natamani nimuulize bro ni kweli
Mna ukaribu sana? Anaweza anzisha valangati.
 
Utani mwingine bwana.

Ile kazi inahitajika kuwa imara haswa.

Kuna siku nimewakuta wenyewe zile lori zao imezimwa wanasukuma kwenye muinuko kidogo.

Sasa kama huko vizuri utajikuta unaporomosha tu vitu huko bila kujizuia.
 
Hiyo sio sawa sema wanawachukulia wanaohitaji kuajiriwa kama Watumwa ndio maana wanaamua kufanya chochote...Mwanaume kumwambia hiyo ishu ni utata kidogo labda awe mgonjwa lakini sio mzima tuu harafu unamletea mambo ya kijinga niliwahi kufikiri kuhusu hilo nikasema watafute utaratibu sahihi sio huu wa kijinga kabisa..
 
Nipo hapa hapa so nawapa angalizo mapema msije mkaja mmejaa upepo.

Nliambiwa jeshini lazima wapime ukubwa wa kipenyo au Radius. Nikauliza je kuna kitu kama x ray au ultra sound inatumika au anything kitaalam ukiacha njia hiyo maana sisi wengine migongo yetu imekakamaa hatuwezi inama.

Nikaambiwa hapana. Unainama kuna mtu anakucheck. Nikasema la hasha. Maisha yangu yote nikiwa nimepata akili hakuna aliyewahi nicheki eneo hilo hata kuliona tu haiwezekani. Kama ndo hivyo basi.

Sasa kila nikimwona mwanajeshi na askari namtizamaaaaaaa..... Nasema Hiii... Natikisa kichwa.
Halafu wajeda wenyewe mitaani wanajiona miamba kumbe wamechunguliwa
 
Jeshini Kuna kukimbia kwa speed kali huku umebeba mizigo mingi.
Ukisikia Amri kuubwa "retreat" Kuna wakati unatakiwa uvue kila kitu na kubaki na chupi tu ili ukimbie speed kali.
Sasa kama nyuma kushalegea itakimbiaje kasi ?
Wakati kukimbia kasi inabidi ukaze matako.
Kumbukeni vitani watu hawawazi kupaka poda na kutongozwa.

Risasi ndio chakula chao.
 
Back
Top Bottom