Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweli, siku hizi wako wengi sanaChoko hana nafasi jeshini (Afrika)
Hapana sijawahi shuhudia mtu akishikwa hilo eneo. Ninachojua ni madaktari huwa na uelewa wao ni nani aliye na tatizo baada ya zoezi fulani ila hayahusiani na kuingiza kidole.Inawezekana chanzo chanushoga wao ni kuingizwa vidole wakati wa kupimwa jeshini 😂
Dah! Vipimo vingine ni mtihani sana!🤔Ugonjwa gani utaangaliwa kalio, mara ya mwisho walitujaribu ilikuwa ni kipindi cha tezi dume na walishindwa maana hakuna mtu alikubali kukaa ule mkao eti apimwe tezi dume .
Utaratibu huu hutumika dunia nzima,(majeshi yote) ila sema baada ya baadhi ya mataifa kutambua na kuruhusu mahusiano haramu ya jinsia moja sijui wanatumia utaratibu upiKwani kwa nchi za wenzetu huko nje utaratibu upoje
Nimecheka mpakaa baa yote wamenigeukia[emoji1787]Kuitazama ni tofauti na kuikagua nyingine ukizitazama ziko vizuri ni kama zile za mwajuma ndala ndefu kutanuka na kurudi lastic ila nasikia kuna [emoji3577] vinaingizwa alaf vinazungushwa zungushwa[emoji23]
He ninyi mnanyoa ili iweje? Mnanyoa vipi? Huku mbele hasa zile zinazozunguka mbupu ni shida kuinama kyzinyoa ndio sababu zinaachwa. Wengine hatujui kama huko uvunguni kuna nywele.Na hautakiwi unyoe yale makata kinyesi yaliyozunguka kimulimuli ole wako, utaeleza ni nani aliyekunyoa.
Nimecheka mpakaa baa yote wamenigeukia[emoji1787]
Na hautakiwi unyoe yale makata kinyesi yaliyozunguka kimulimuli ole wako, utaeleza ni nani aliyekunyoa.
He ninyi mnanyoa ili iweje? Mnanyoa vipi? Huku mbele hasa zile zinazozunguka mbupu ni shida kuinama kyzinyoa ndio sababu zinaachwa. Wengine hatujui kama huko uvunguni kuna nywele.
Wewe Tayari Kakolanya katoka ndio mana unaogopa