Hili jambo lilinifanya nikatae kujiunga na Jeshi. Niliona ni udhalilishaji

Hili jambo lilinifanya nikatae kujiunga na Jeshi. Niliona ni udhalilishaji

Haukuwepo
Jeshi la wapi ilo?? Mm kuna jamaa yangu aliniambia wanapimwa kwa kuvua nguo na kuambiwa wainame wanaumulikwa waking na mashaka na wewe ndio wanakwambia ukohoe.kwenye kukohoa ndio wanjua kama una bawasili au huwa unapigwa miti.ukiwa na na kimoja kati ya hivyo unapigwa chin.correct me If am wrong
 
Natumia toilet paper. Nashika sehemu hizo wakati naoga. Ukishajimwagia maji unajipaka sabuni mwili wote na kujipiga maji ya nguvu. Huwezi kujua kama kuna nywele. Haya ya mbele nayaona nayaondoa kwa mkasi mara chache sana.
bilashaka huo ni uchafu hakuna mtumia toilet paper ambaye akifika nyumbani hachambi kwa maji itakuwa ni wewe tu tukuweke kwenye makumbusho maana iyo harufu tu ni hatari mzee
 
Kuna jamaa waliitwa halmashauri kwenye usaili, wengi wao hawakujua kama mambo ya kukaguana nukta fiche yapo.
Ile wamefika wanaingia jinsia moja kama kumi hivi, wakaambiwa vua nguo zote.
Aisee pale ikawa aibu, mijitu vuzi kibao, wengine boxer chafu kichizi.
Huyu mwanangu yeye alivaa smart ila ndani hakuvaa boxer. Maafisa wakawa hawana mbavu.
Mwisho wa siku wote wakageukia ukuta kupimwa kama nukta fiche imekua sifuri.
 
Na ukienda jela je, utagoma kukaguliwa?
 
Back
Top Bottom