Hili jambo lilinifanya nikatae kujiunga na Jeshi. Niliona ni udhalilishaji

Hili jambo lilinifanya nikatae kujiunga na Jeshi. Niliona ni udhalilishaji

Kwani huchambagi wee ukienda kusubara??
Natumia toilet paper. Nashika sehemu hizo wakati naoga. Ukishajimwagia maji unajipaka sabuni mwili wote na kujipiga maji ya nguvu. Huwezi kujua kama kuna nywele. Haya ya mbele nayaona nayaondoa kwa mkasi mara chache sana.
 
Nipo hapa hapa so nawapa angalizo mapema msije mkaja mmejaa upepo.

Nliambiwa jeshini lazima wapime ukubwa wa kipenyo au Radius. Nikauliza je kuna kitu kama x ray au ultra sound inatumika au anything kitaalam ukiacha njia hiyo, maana sisi wengine migongo yetu imekakamaa hatuwezi inama?

Nikaambiwa hapana. Unainama kuna mtu anakucheck. Nikasema la hasha. Maisha yangu yote nikiwa nimepata akili hakuna aliyewahi nicheki eneo hilo hata kuliona tu haiwezekani. Kama ndio hivyo basi.

Sasa kila nikimwona mwanajeshi na askari namtizama, nasema hiii. Natikisa kichwa.
Ulikuwa unatolewa uzalendo(ushamba na ujinga wa kiraia)!Ungeingia jeshi halafu ukutane na harrassments za kuwa mateka vitani ingekuwaje?Jeshi siyo picnic mkuu.Salute kwa maafande wote!Salute!🤚
 
baada ya kupitia comments humu nimegundua wengi wenu mliwahi litaka jeshi mkashindwa kwa kukosa vigezo kikiwemo hicho Cha kutokua na marinda
 
Hichi kigezo kingetumika hata humu jamiiforum maana kuna ma bwabwa humu kama huyu mtoa mada ingesaidia kupunguza haya ma punga
 
Ndo maana tulisoma PAI 22/7 au 3.14 kutafuta mzingo wa duara lenye kipenyo kizima au nusu kipenyo.....
Sir major anapima kwa kutumia mti wa muanzi kujua radius kama inatumika kutoa mbolea tu au inatumika kuingiza kitu ndani so marinda yataonekana tu
Jeshi la wapi ilo?? Mm kuna jamaa yangu aliniambia wanapimwa kwa kuvua nguo na kuambiwa wainame wanaumulikwa waking na mashaka na wewe ndio wanakwambia ukohoe.kwenye kukohoa ndio wanjua kama una bawasili au huwa unapigwa miti.ukiwa na na kimoja kati ya hivyo unapigwa chin.correct me If am wrong
 
Bawasiri ina tatizo gani kwa mwanajeshi?
 
Jeshi la wapi ilo?? Mm kuna jamaa yangu aliniambia wanapimwa kwa kuvua nguo na kuambiwa wainame wanaumulikwa waking na mashaka na wewe ndio wanakwambia ukohoe.kwenye kukohoa ndio wanjua kama una bawasili au huwa unapigwa miti.ukiwa na na kimoja kati ya hivyo unapigwa chin.correct me If am wrong
Hakuna anayeguswa kwenye kupimwa hio kupigwa miti Ni jeshi gani unalizungumzia em acheni kudhalilisha jeshi kama hamna Cha kujadili Ni Bora mkae kimya
 
Hivi kwann mnaongeza chumvi wakati stori zenyew mnasimuliwa hata huko jeshini hamjawah kwenda
 
Utani mwingine bwana.

Ile kazi inahitajika kuwa imara haswa.

Kuna siku nimewakuta wenyewe zile lori zao imezimwa wanasukuma kwenye muinuko kidogo.

Sasa kama huko vizuri utajikuta unaporomosha tu vitu huko bila kujizuia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom