Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ugonjwa gani utaangaliwa kalio, mara ya mwisho walitujaribu ilikuwa ni kipindi cha tezi dume na walishindwa maana hakuna mtu alikubali kukaa ule mkao eti apimwe tezi dume .Ukiugua dr huwa anaangalia bure na unamlipa wewe, sembuse jeshini unaenda kulipwa
Kama uko intact huwezi kuogopa hata kikosi kizima kikuangaliae. Yawezekana huna marinda ndiyo maana uliogopa kwa vile watajua huna bikraWewe ndio mwanaume sasa. Inatakiwa ifike wakati ijulikane kuwa kalio la mwanaume ni nyara ya mwanaume hakuna mtu anaweza au mwenye ruhusa ya kuligusa.
Kalio la mwanaume ni siri sirini. Kalio la mwanaume ni nyaraka za siri za usalama wa taifa. Ndio maana mtu yoyote akionyesha tako lake kwa mwanaume mwenzake au mwanamke tayari anakuwa ameuweka uanaume wake rehani.
Asee tena inabidi ukohoe😂😂😂😂jamaa anachek process nzima ya unyumbulikaji wa marinda,,, jamaa anamulika tu,,, hizo kazi nyingine vigezo balaaInama halafu unakohoa ila nyie vitu vingine basi tu ndio vipimo vya kujiunga na jeshi hutaki usiende
Kama uko intact huwezi kuogopa hata kikosi kizima kikuangaliae. Yawezekana huna marinda ndiyo maana uliogopa kwa vile watajua huna bikra
Hamna kitu kicho.Kwani kwa nchi za wenzetu huko nje utaratibu upoje
Majeshi mengi wanafanya hivyoHamna kitu kicho.
Ni Tanganyika tu
Majeshi yapi?Majeshi mengi wanafanya hivyo
Aibu tupu.Hadi sidiefu naye alikaguliwa? Kuna watu wanamjua alivyo?
Kwa nchi nyingi za nje na ndani ya Africa vigezo vya kujiunga na jeshi vinafananaMajeshi yapi?
Chunga mdomo wako.Mimi nawajua wanajeshi kama sita wanaoingiliwa!
Kuna wawili wako Tabora!