Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nipo hapa hapa so nawapa angalizo mapema msije mkaja mmejaa upepo.
Nliambiwa jeshini lazima wapime ukubwa wa kipenyo au Radius. Nikauliza je kuna kitu kama x ray au ultra sound inatumika au anything kitaalam.
Nikaambiwa hapana. Unainama kuna mtu anakucheck. Nikasema la hasha. Maisha yangu yote nikiwa nimepata akili hakuna aliyewahi nicheki eneo hilo hata kuliona tu haiwezekani. Kama ndo hivyo basi.
Sasa kila nikimwona mwanajeshi na askari namtizamaaaaaaa..... Nasema Hiii... Natikisa kichwa.
SwadaktaKwahio wajeshi wote wamemulikwa
😂😄😁😆😅😄😁😆😅Kwahio wajeshi wote wamemulikwa
Kwa hiyo wewe ukiwa unalipwa haina shida unaachia tu watu waikague na kuangalia imekaaje kaaje? Nimekusoma.Ukiugua dr huwa anaangalia bure na unamlipa wewe, sembuse jeshini unaenda kulipwa
Tena labda uwe na Bawasiri/Bawasili bila hivyo. Ni ngumu sana. Kwa hiyari hapanaKiukweli kwa mwanaume Rijali inakuwa ngumu kukubali kuangaliwa angle hiyo, labda kwa ulazima wa hospital
Wanapimaje uimara? Sasa wale wanaokula mavyakula magumu... Wanga n.k huwa nasikia wanatoa choo kikubwa kigumu. Radius itakuwa inasoma juu sana.Ni Kawaida Tu Unashindwa Kuinama Kwa Wema, Haiguswi Lakini Inatazamwa Uimara Wake
Yeaaah .... Watafafanua hii issue vizuri. Maana kama kuna namna nyingine niende tu jeshini huu umri mdogo uliobakiNgoja waje wajeda
🤣🤣🤣Ww ni Chizi kweliNipo hapa hapa so nawapa angalizo mapema msije mkaja mmejaa upepo.
Nliambiwa jeshini lazima wapime ukubwa wa kipenyo. Nikauliza je kuna kitu kama x ray au ultra sound inatumika au anything kitaalam.
Nikaambiwa hapana. Unainama kuna mtu anakucheck. Nikasema la hasha. Maisha yangu yote nikiwa nimepata akili hakuna aliyewahi nicheki eneo hilo hata kuliona tu haiwezekani. Kama ndo hivyo basi.
Sasa kila nikimwona mwanajeshi na askari namtizamaaaaaaa..... Nasema Hiii... Natikisa kichwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena labda uwe na Bawasiri/Bawasili bila hivyo. Ni ngumu sana. Kwa hiyari hapana