Hili jambo limenitatiza na kufanya niwe na wasiwasi za vijana wa iPhone

Hili jambo limenitatiza na kufanya niwe na wasiwasi za vijana wa iPhone

Alilipa huyo mama ila gari alikuwa anaendesha huyo Winga, Gari ilikuwa toyota wish, ila siku aliyokuja had nikamtumia 150k alikuja na bmw

maana yake mpaka magari anazuia.
 
Hawa jamaa wanaongea ongea sana, hadi imefikia mi mtu akianza tu kuongea ongea nakaa tayari
 
duka la simu wauzaji 5 wanafanya nini!!!hii ndio inafanya mtu unataka kutoa milioni yako unapata wasi wasi.
Binafsi hakuna kitu kinanikera kama maduka ya simu kariakoo... Frem moja kuna wauzaji saba mpaka nane wa simu. Nilishawahi kughairi kumnunulia dogo simu baada ya kukosa duka lenye muuzaj mmoja au wawili tu
 
Back
Top Bottom