mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Nov 4, 2021 #21 6321 said: Alilipa huyo mama ila gari alikuwa anaendesha huyo Winga, Gari ilikuwa toyota wish, ila siku aliyokuja had nikamtumia 150k alikuja na bmw Click to expand... maana yake mpaka magari anazuia.
6321 said: Alilipa huyo mama ila gari alikuwa anaendesha huyo Winga, Gari ilikuwa toyota wish, ila siku aliyokuja had nikamtumia 150k alikuja na bmw Click to expand... maana yake mpaka magari anazuia.
concious mind JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 1,003 Reaction score 617 Nov 4, 2021 #22 Hawa jamaa wanaongea ongea sana, hadi imefikia mi mtu akianza tu kuongea ongea nakaa tayari
6321 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2016 Posts 649 Reaction score 1,117 Nov 4, 2021 Thread starter #23 mkorinto said: maana yake mpaka magari anazuia. Click to expand... Hapo sina uhakika mkuu[emoji23][emoji23] Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
mkorinto said: maana yake mpaka magari anazuia. Click to expand... Hapo sina uhakika mkuu[emoji23][emoji23] Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 12,826 Reaction score 17,371 Nov 4, 2021 #24 Mnyatiaji said: Dalali kwenye duka la simu anafanya nini tena. Click to expand... Na duka halikuwa na simu bali palikuwepo na mabox ya simu yamepangwa. Na hakuona mteja anayeingia! Sent using Jamii Forums mobile app
Mnyatiaji said: Dalali kwenye duka la simu anafanya nini tena. Click to expand... Na duka halikuwa na simu bali palikuwepo na mabox ya simu yamepangwa. Na hakuona mteja anayeingia! Sent using Jamii Forums mobile app
J jombaa askari JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 494 Reaction score 530 Nov 4, 2021 #25 mkorinto said: duka la simu wauzaji 5 wanafanya nini!!!hii ndio inafanya mtu unataka kutoa milioni yako unapata wasi wasi. Click to expand... Binafsi hakuna kitu kinanikera kama maduka ya simu kariakoo... Frem moja kuna wauzaji saba mpaka nane wa simu. Nilishawahi kughairi kumnunulia dogo simu baada ya kukosa duka lenye muuzaj mmoja au wawili tu
mkorinto said: duka la simu wauzaji 5 wanafanya nini!!!hii ndio inafanya mtu unataka kutoa milioni yako unapata wasi wasi. Click to expand... Binafsi hakuna kitu kinanikera kama maduka ya simu kariakoo... Frem moja kuna wauzaji saba mpaka nane wa simu. Nilishawahi kughairi kumnunulia dogo simu baada ya kukosa duka lenye muuzaj mmoja au wawili tu
M2WAWA2 JF-Expert Member Joined Aug 15, 2014 Posts 3,285 Reaction score 5,598 Nov 4, 2021 #26 KISIWAGA said: Hivi kuna nini kwenye iphone Click to expand... ni ujinga ujinga tu, simu una nunua 3million, Halafu unadaiwa Songesha, Nipige tafu, na tubado twa 500.
KISIWAGA said: Hivi kuna nini kwenye iphone Click to expand... ni ujinga ujinga tu, simu una nunua 3million, Halafu unadaiwa Songesha, Nipige tafu, na tubado twa 500.
L lordchimkwese JF-Expert Member Joined Nov 16, 2015 Posts 1,914 Reaction score 3,356 Nov 4, 2021 #27 Sakasaka Mao said: Na duka halikuwa na simu bali palikuwepo na mabox ya simu yamepangwa. Na hakuona mteja anayeingia! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wale jamaa wa makumbusho wanashangaza sana unakuta dukan wapo wa 4 au had 6 na nasistaduu wakali nini.. Unajiuliza hii biashara ya simu inalipa hvi..
Sakasaka Mao said: Na duka halikuwa na simu bali palikuwepo na mabox ya simu yamepangwa. Na hakuona mteja anayeingia! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wale jamaa wa makumbusho wanashangaza sana unakuta dukan wapo wa 4 au had 6 na nasistaduu wakali nini.. Unajiuliza hii biashara ya simu inalipa hvi..