Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,797
- 22,359
WEwe na hiyo lafudhi yako nzuri bado unalia lia hujaolewa sasa kuna faida gani..Hunaga lafudhi nzuri kwanini

Da maua mbavu zinaniuma ujue 😂😂😂Nahamu nikufungulie siri zangu ili unielewe wanaume wanatumia wanawake kupatia utajiri namimi ni muhanga nikawaza what nisingetoa utamu leo kofuli lingekuwepo na maisha ningekuwa nayo.
Una ID ngapi 🤔Da maua mbavu zinaniuma ujue 😂😂😂
Wee bado mtamu tu mauaNadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu. Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi.
Nimekuja kujua tunda la kati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati, kupata shida ya vizazi, kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo yako kabisa. Kisa ulifanya mapenzi na watu kadhaa.
Ndio kusalitiwa ndio kubadilisha badilisha wanaume nakutojielewa unatakaje. Kweli ningekuwa nimejitunza walahi I think nisingekuwa single na jikomba ili status ibadilike mtu bikra hajikombi anapata kitu classic.
Usijali babe gurlNadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu. Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi.
Nimekuja kujua tunda la kati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati, kupata shida ya vizazi, kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo yako kabisa. Kisa ulifanya mapenzi na watu kadhaa.
Ndio kusalitiwa ndio kubadilisha badilisha wanaume nakutojielewa unatakaje. Kweli ningekuwa nimejitunza walahi I think nisingekuwa single na jikomba ili status ibadilike mtu bikra hajikombi anapata kitu classic.
NitakutafutaHupatikani whatsap siku izi
Jamani wewe 😃😃Mmmh...! Labda kwa mwingine.
We unazijua ngapi?Una ID ngapi 🤔
😂😂😂😂 whaaaatttt???Kwani k yako inawasha kila mara?
Kheee..!!! Pole sana..!! Sema nini, hata bikra kumjua nako ni shida. Na hapo ndo anapojikombea, maana hajulikana, na wala hana alama hadi anyanduliwe ndo anajulikana kwamba alikuwa bikra.Nadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu. Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi.
Nimekuja kujua tunda la kati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati, kupata shida ya vizazi, kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo yako kabisa. Kisa ulifanya mapenzi na watu kadhaa.
Ndio kusalitiwa ndio kubadilisha badilisha wanaume nakutojielewa unatakaje. Kweli ningekuwa nimejitunza walahi I think nisingekuwa single na jikomba ili status ibadilike mtu bikra hajikombi anapata kitu classic.
Da mau eti kweli? Unique FlowerMna uhakika dada mau ni mwanamke? Isijekua ni mwanaume anatuchezea akili...
Dah! Kuna wengine wakijua huna wanajenga madharauKheee..!!! Pole sana..!! Sema nini, hata bikra kumjua nako ni shida. Na hapo ndo anapojikombea, maana hajulikana, na wala hana alama hadi anyanguliwe ndo anajulikana.
Wewe unaonaje,,?? Hujajibu swali languDa mau eti kweli? Unique Flower
Lipi? Da mauWewe unaonaje,,?? Hujajibu swali langu