Hili jambo linanigharimu sana

We endelea tu kugawa mama huruma wewe..Gawa mpaka mpaka hizo figo zako mbili za kukalia
 
Wee bado mtamu tu maua
 
Usijali babe gurl
 
Kheee..!!! Pole sana..!! Sema nini, hata bikra kumjua nako ni shida. Na hapo ndo anapojikombea, maana hajulikana, na wala hana alama hadi anyanduliwe ndo anajulikana kwamba alikuwa bikra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…