Hili jambo linanigharimu sana

Maadamu u mzima, nafasi nyingine ipo ya kurekebisha na kutengeneza na Mungu wako. Mungu ni mwema na anarehemu kwa maana kama angelijesabu makosa yetu, hakuna ambaye angeweza kusimama mbele zako.

Yesu anakupenda sana naye anajua upitiayo. Ni wakati wako sasa kumtafuta na kumuendea kwa Moyo wote naue atakurehemu na atakupa hitaji la Moyo wako.

Neema ya Mungu imefunulowa kwa watu wote, hata kwako dada yangu. Njoo kwa Yesu leo.
 
Tulia panga mipango yako vizuri unaweza kuolewa na mzungu. Mlio shindikana ndo mna kismati cha wazungu. Sijawahi kuona mswahili geti kali kaolewa na mzungu
 
Ukiendelea kujielewa hivi muda sio mrefu utafutwa machozi Kwa kumpata !

Huwa nawaambia baadhi ya madem kwamba mume wako ulishampata siku nyingi sana SEMA ndio hivyo ulimkataa kisa Hana kitu kabisa au ulikua na mtu mwenye hela ukamkataa anaetaka kukuoa!!

Tubu kwanza Mungu akusamehe dhambi ya kumkataa aliekupa kabla hajakupa chaguo la pili!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…