Hili jambo linanigharimu sana

Ila una make sense, so unamaanisha wote Ke/Me tunapokuwa on ''bed chaos'' tuwe na akili mbili kwamba uthamani upooo au ndo having fun to the fullest without regret later na mtu ujiandae kuwa uthamani upo (ndoa) au just for fun. But utajuaje uthamani upo au unatumiwa zingatia kuna pretending on both parties?
 
Hapo thatha...😂, ila how come mwanaume ufikie hatua hiyo to pretend be woman and mind consumed with that wacky thinking
How comes wewe ni mwanamke halafu unaonea watu wivu na wewe ndio shida yakukosa mume maana uliye naye kakuchoka mbeya mnafiki umeshindwa kustahimili wivu na rohi mbaya kila siku una id mpya ili ukashifu wenzako mind your shit not other people s business huwezi kuwafanya watu waishi utakavyoo tutaishi utakavyo naninakujua unapenda sana kuwalazimisha watu wawe character uipendayo wewe mf. Unaniambie mie mwanaume mara mie mlevi sijui hivi vile faida ipo wapi na hulipwi kila id ya kike wewe yakiume wewe sijui shida nini
 
Yes, it's true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…