Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,531
- 5,787
ni mwanamke uhakika ila ana Bipolar disorder .Mna uhakika dada mau ni mwanamke? Isijekua ni mwanaume anatuchezea akili...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni mwanamke uhakika ila ana Bipolar disorder .Mna uhakika dada mau ni mwanamke? Isijekua ni mwanaume anatuchezea akili...
Mna uhakika dada mau ni mwanamke? Isijekua ni mwanaume anatuchezea akili...
wanajifanya hawataki kusikiliza ushauri ila ukweli wanaujua dadaJapo uelewi ukija kuwa muelewa utajuta kukigawa sina stress nanani kakuambia huyu uliyenaye hakutumii kwa faida zake .?? Eh mie nakuambia ukweli kama wewe ni ke jua me anakufaidi ndio maana upo naye kama ni me jua ke anakutumia kwa kiasi fulani hujui lolote kuhusu kuivunja hii amri saivi huenda unaona mie chizi ila ipo siku utajua kuwa mie sio chizi
Nahamu nikufungulie siri zangu ili unielewe wanaume wanatumia wanawake kupatia utajiri namimi ni muhanga nikawaza what nisingetoa utamu leo kofuli lingekuwepo na maisha ningekuwa nayo.Washabutua wangapi so far!!
Mpaka imefikia hatua unajiogopa?!!!!
Sijui chn kutakuw na hali gani!!!
Ni kweliwanajifanya hawataki kusikiliza ushauri ila ukweli wanaujua dada
Hapana ni kweli huyu ni mtu mzima anafamilia ila anaongea ujinga hana msada kwa taifa leo watu wanapuuza hili ila ipo siku watu watakumbuka hii post.Ila da maua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Heri wewe uliye mwanamke ambaye humu unatambulikaMna uhakika dada mau ni mwanamke? Isijekua ni mwanaume anatuchezea akili...
Talk to herUsijikatie tamaa kipenzi, still uko na nafasi ya kubadilisha maisha yako
Kwanini??Tukiwaambia acheni kusali kwenye hayo makanisa yaliyotengezwa kwa maturubai hamsikii....
Kwamba anafanya uvuvi haramu?Mna uhakika dada mau ni mwanamke? Isijekua ni mwanaume anatuchezea akili...
Tatizo wewe mzee hunielewiTalk to her
Maua mazuri🤗Ila da maua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
I love you too...😘Tulia wewe😃🧐
Sawa ila kakigawaMaua mazuri🤗
Vipi tena mamsapu mtarajiwa? Wahuni wabaya sana!Nadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu .
Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi.
Nimekuja kujua tunda lakati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati ,kupata shida ya vizazi,kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo yako kabisa. Kisa ulifanya mapenzi na watu kadhaa .
Ndio kusalitiwa ndio kubadilisha badilisha wanaume nakutojielewa unatakaje. Kweli ningekuwa nimejitunza walahi ithink nisingekuwa single na jikomba ili status ibadilike mtu bikra hajikombi anapata kitu classic .
Mnadanganywa sana huko..... kunyanduana haijawahi kua tatizo kama unatumia akili pangilia vitu vyako tumia hela vzr tombana Linda afya yakoKwanini??