Hili jambo linanigharimu sana

Hili jambo linanigharimu sana

Nadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu .
Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi.

Nimekuja kujua tunda lakati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati ,kupata shida ya vizazi,kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo yako kabisa. Kisa ulifanya mapenzi na watu kadhaa .
Ndio kusalitiwa ndio kubadilisha badilisha wanaume nakutojielewa unatakaje. Kweli ningekuwa nimejitunza walahi ithink nisingekuwa single na jikomba ili status ibadilike mtu bikra hajikombi anapata kitu classic .
Bora umesema kweli
 
Kama uni mwenyewe ni huyu😆, lazima apagawe🤣🤣
FB_IMG_17069936566927530.jpg
 
Kwani Hao bikra hawapati changamoto kwenye mapenzi? Mtu anaolewa bikra ila baada ya muda mfupi mahusiano/ndoa yanawapeleka puta hadi wanakosa raha. Suala la msingi hakikisha unapata mtu unae endana nae awe Kam rafiki, mshikaji na mpenzi in short muelewane na mvumiliane.

Kosa kubwa wanalofanya wanawake/washichana wengi ni kuzaa na mwanaume ambae sio sahihi wakidhani kuzaa na mwanaume atakuwa wako siku zote (not really unless amekuoa) na pia kitu ambacho labda wanawake hawajui ni kuwa ni wanaume wachache sana wanaoweza kukupenda 100% ukiwa na moto ambae sio wa kwake yaani ulizaa na mwanaume mwingine. Notion ya wanaume wengi wanajua show huwa zinaendelea na huyo mwanaume ulie zaa nae labda awe mbali sana au ametangulia mbele ya haki otherwise never expect 100% committiment from this guy kwako and your child as well.

Ukitaka mwanaume awe wako na akuoe fanya kitu kidogo ila hii ni kwa upande wangu sijui kwa wengine mpende, mheshimu (pia jishushe kwake - mwanaume ni natural ruler from God) na msikilize anachotaka. Wanawake wanafeli kufuata hii kanuni kwa vigezo wanavyojua wao ndio maana single mothers wapo wengi sana but Kama unafanya yote hayo still things are not working out elewa kwamba he is not in love with you just move on..

Tous mes voeux!🤗
 
Back
Top Bottom