Hili jambo linanigharimu sana

Hili jambo linanigharimu sana

Nadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu .
Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi.

Nimekuja kujua tunda lakati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati ,kupata shida ya vizazi,kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo yako kabisa. Kisa ulifanya mapenzi na watu kadhaa .
Ndio kusalitiwa ndio kubadilisha badilisha wanaume nakutojielewa unatakaje. Kweli ningekuwa nimejitunza walahi ithink nisingekuwa single na jikomba ili status ibadilike mtu bikra hajikombi anapata kitu classic .
Kila siku nakwambia tulia nikumiliki hutaki, ona sasa
 
Back
Top Bottom