Hili jambo linanitafuna sana.

Tafuta Energy? Unamaanisha Aoe, au Aende kwa Mwamposa? Au una masna ya Energy atoe kafara kwa Mganga?
 
Umesomea course gani?
 
Kuna mdau MarkHilary kasema kusomea ualimu ni kosa la kwanza, kusoma hiyo kozi na umetoka familia masikini huwa ni changamoto sana kwa kijana wa kiume kutoboa, nakumbuka wazazi walinisihi sana nisome ila niliwajibu ndiyo kumaliza ugomvi niende shule ilihali sio nilichoenda kusoma,

Utajiri na connections ni mindset, uwezo pamoja na watu unaokutana nao na vyote hivyo vinachochewa na mazingira,
Ukisomea ualimu direct unakua umejitoa kwenye hayo mazingira kutokana na nature ya kazi labda wachache wanaobahatika kuchomokea private na wenye akili kubwa sana ya kutoboa kivyaovyao

Pambana na mtaa huku ukisikilizia kazi kama option itakayojileta yenyewe, ikikukuta hujajipata nenda nayo ila ikikukuta umejipata uache iende.
Lakini pia toka kijijini nenda mjini, sisi wa vibatari tukimaliza chuo huwa haturudi nyumbani maana ni kwenda kujizika.
 
Pole sana nikiona kijana wa kiume anahangaika hivi huwa naona huruma kwa sbb ww kijana wa kiume ni kila kitu katika familia..inanifanya nipambane kwa ajili ya kuandaa mustakabali wa maisha ya vijana wangu baadae...maana hali si hali...
Ila endelea kupambana kesho yako ni njema kuliko leo..
 
Hivi ulishawahi kuwaza mpira wa kona kuwa katika adhabu ya mpira wa miguu? Sababu ni kwamba unatengeneza mazingira ya kupambana katika lango la gori la adui yako kiasi kwamba nafasi kumshinda kwa kuingiza gori ni rahisi sana. Ndivyo ilivyo kwa taaluma tunazosomea Chuo. Ukisomea Ualimu nafasi ya kutoboa ni finyu sana kama utaendelea kutegemea ualimu. Pambana kwa kutumia maarifa mapana ya Chuo na sio Ualimu!
 
Acha ubwege unachagua kazi unaona aibu naamka saa 11 alfajiri mpaka saa 3 or 4 asubuhi nishafunga 15 mpaka 18.saa hii nimelala tu nasubiri saa 9 nipigie show mpaka 12,30 nifunge 10 mpaka 15,AIBU HURUMA KUTUMWA NI UKOSEFU WA MAARIFA?
 
Usikate Tamaaa Mungu mweza yote ipo siko Yako itafika
 
Pole sana mdogo wangu lakini nakushauri usikate tamaa endelea kupambana ipo siku milango ya riziki itafunguka Wala usijali. Kwa Mungu hakuna kuwahi Wala kuchelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…