Hili jambo lipoje, kuna madhara ndani yake?

Hapa tatizo ni mwanamke... mke wa mtu tena anayenyonyesha, kukubali kutafunwa na mhuni kama huyu mleta mada, ni umalaya uliopitiliza. Iwe kwa kutumia kondom ama kwa kutotumia.

Hili sidhani kama linahitaji waraka wa Bonny wala mpambe wake Numbisa.

Hivi nyie wanawake mbona mnatuwia vigumu hivi kuwaelewa???
katika uhuni wote nliowah kupitia ila hata siku moja kukatisha kwa mke wa mtu anaenyonyesha hyo dhambi kubwa sana aisee unamuharibu mtoto wa mtu kwa tamaa zako hata hujionji

hilo hata kwenye reffereence za kule mwisho haliwekwi mkuu labda Numbisa aseme wanajisikiaje kutembea na mwanaume mwengine wakat wana mtoto mdogo wa kunyonyesha
 
sawa!alienda yule kijana kule geita?

Hapana hakwenda, huyu hapa anajigonga selfie...

insta-image-2-jpg.465503
 
katika uhuni wote nliowah kupitia ila hata siku moja kukatisha kwa mke wa mtu anaenyonyesha hyo dhambi kubwa sana aisee unamuharibu mtoto wa mtu kwa tamaa zako hata hujionji

hilo hata kwenye reffereence za kule mwisho haliwekwi mkuu labda Numbisa aseme wanajisikiaje kutembea na mwanaume mwengine wakat wana mtoto mdogo wa kunyonyesha
Kwanza utamparamiaje mama wa watu ananuka maziwa na mikojo ya mtoto???
 
Kna kitu Unapaswa kama mchangiaji ufahamu,
Kwnza; JF n jungu kuu, kwa maana halikosi ukoko!! Kwahyo basi humu kuna watu wenye hulka na karba tofauti so mtu anapouliza swali kulingana na hulka & karba zenu ataweza pata msaada
Pili; huwezi kusema kwamba mm huyo mtoto si wangu au wangu, ama huyo mwanamke naishi nae ama laaa kwasbabu SIRI YA MTOTO ipo kwa Mwanamke, however panapoulizwa swali panataka majibu
 
Unapozini na mke wa mwenzio tena Akiwa na mtoto mchanga. Itakuja kukugharimu maishani mwako. Mbona wasichana ambao hawana watoto wapo wengi tu.
Unajuaje kama nazini? Wapi umeona neno "mke wa mtu "
 
Labda ana hofu mtoto atavimbilwa...km kataka mwenyewe usihofu kula tu! kwani hajui km ana mtoto mchanga wanachelewaga kufikiri mpaka uwagonge hao...
 
Kna kitu Unapaswa kama mchangiaji ufahamu,
Kwnza; JF n jungu kuu, kwa maana halikosi ukoko!! Kwahyo basi humu kuna watu wenye hulka na karba tofauti so mtu anapouliza swali kulingana na hulka & karba zenu ataweza pata msaada
Pili; huwezi kusema kwamba mm huyo mtoto si wangu au wangu, ama huyo mwanamke naishi nae ama laaa kwasbabu SIRI YA MTOTO ipo kwa Mwanamke, however panapoulizwa swali panataka majibu

Haya na wewe tujibu, hii suti uliishonea wapi?? Maana joanah ameniahidi anataka aniletee zawadi baada ya kumbambika mimba japo tulitumia kondom...

ade876ea254802f7118c462a7a2c1525.jpg
 
Made in Dodoma [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ila nna swali mzee mwenzangu hii kitu umeitoa wap sio mbaya sana ukilumangila na ka ugali
Nimetumia fursa mzee mwenzangu... Huyum mzee mwenzetu katusaidia sana kutocheza mbali na fursa...

1485436031038-jpg.464067
 
hapa sasa nmekuelwa ila naona kama ile rule namba 3 inafifia vile
 
Huyo ni malaya tu tena asiye na huruma kwa mtoto.
katika uhuni wote nliowah kupitia ila hata siku moja kukatisha kwa mke wa mtu anaenyonyesha hyo dhambi kubwa sana aisee unamuharibu mtoto wa mtu kwa tamaa zako hata hujionji

hilo hata kwenye reffereence za kule mwisho haliwekwi mkuu labda Numbisa aseme wanajisikiaje kutembea na mwanaume mwengine wakat wana mtoto mdogo wa kunyonyesha
 
Huyo ni malaya tu tena asiye na huruma kwa mtoto.
duh ukisikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke kwenda kwa mwanamke mwenzie ujue hlo jambo limegiusa moyo wake
 
Back
Top Bottom