kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,313
- 7,714
sawa!alienda yule kijana kule geita?Chitchat is all about saying anything...
Uwe unakijua au hukijui... hili ni jukwaa la kubwatuka tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa!alienda yule kijana kule geita?Chitchat is all about saying anything...
Uwe unakijua au hukijui... hili ni jukwaa la kubwatuka tu.
katika uhuni wote nliowah kupitia ila hata siku moja kukatisha kwa mke wa mtu anaenyonyesha hyo dhambi kubwa sana aisee unamuharibu mtoto wa mtu kwa tamaa zako hata hujionjiHapa tatizo ni mwanamke... mke wa mtu tena anayenyonyesha, kukubali kutafunwa na mhuni kama huyu mleta mada, ni umalaya uliopitiliza. Iwe kwa kutumia kondom ama kwa kutotumia.
Hili sidhani kama linahitaji waraka wa Bonny wala mpambe wake Numbisa.
Hivi nyie wanawake mbona mnatuwia vigumu hivi kuwaelewa???
sawa!alienda yule kijana kule geita?
Kwanza utamparamiaje mama wa watu ananuka maziwa na mikojo ya mtoto???katika uhuni wote nliowah kupitia ila hata siku moja kukatisha kwa mke wa mtu anaenyonyesha hyo dhambi kubwa sana aisee unamuharibu mtoto wa mtu kwa tamaa zako hata hujionji
hilo hata kwenye reffereence za kule mwisho haliwekwi mkuu labda Numbisa aseme wanajisikiaje kutembea na mwanaume mwengine wakat wana mtoto mdogo wa kunyonyesha
Unajuaje kama nazini? Wapi umeona neno "mke wa mtu "Unapozini na mke wa mwenzio tena Akiwa na mtoto mchanga. Itakuja kukugharimu maishani mwako. Mbona wasichana ambao hawana watoto wapo wengi tu.
ha ha ha ha kwahyo wanakua wamepigwa marufuku mipapaso ya kifuan maana ukigusa tu umeharbu dinner ya mtotoKwanza utamparamiaje mama wa watu ananuka maziwa na mikojo ya mtoto???
Kna kitu Unapaswa kama mchangiaji ufahamu,
Kwnza; JF n jungu kuu, kwa maana halikosi ukoko!! Kwahyo basi humu kuna watu wenye hulka na karba tofauti so mtu anapouliza swali kulingana na hulka & karba zenu ataweza pata msaada
Pili; huwezi kusema kwamba mm huyo mtoto si wangu au wangu, ama huyo mwanamke naishi nae ama laaa kwasbabu SIRI YA MTOTO ipo kwa Mwanamke, however panapoulizwa swali panataka majibu
Afu wanamsingizia uchawi mungu eti... khaaa!!ha ha ha ha kwahyo wanakua wamepigwa marufuku mipapaso ya kifuan maana ukigusa tu umeharbu dinner ya mtoto
ila nna swali mzee mwenzangu hii kitu umeitoa wap sio mbaya sana ukilumangila na ka ugaliAfu wanamsingizia uchawi mungu eti... khaaa!!
![]()
Cyo Singidani hyo? Au Ujitaniila nna swali mzee mwenzangu hii kitu umeitoa wap sio mbaya sana ukilumangila na ka ugali
Nimetumia fursa mzee mwenzangu... Huyum mzee mwenzetu katusaidia sana kutocheza mbali na fursa...ila nna swali mzee mwenzangu hii kitu umeitoa wap sio mbaya sana ukilumangila na ka ugali
Shida ni mwandiko wake tu ila kako vizur mashalahCyo Singidani hyo? Au Ujitani
hapa sasa nmekuelwa ila naona kama ile rule namba 3 inafifia vileNimetumia fursa mzee mwenzangu... Huyum mzee mwenzetu katusaidia sana kutocheza mbali na fursa...
![]()
Made in Dodoma [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
katika uhuni wote nliowah kupitia ila hata siku moja kukatisha kwa mke wa mtu anaenyonyesha hyo dhambi kubwa sana aisee unamuharibu mtoto wa mtu kwa tamaa zako hata hujionji
hilo hata kwenye reffereence za kule mwisho haliwekwi mkuu labda Numbisa aseme wanajisikiaje kutembea na mwanaume mwengine wakat wana mtoto mdogo wa kunyonyesha
duh ukisikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke kwenda kwa mwanamke mwenzie ujue hlo jambo limegiusa moyo wakeHuyo ni malaya tu tena asiye na huruma kwa mtoto.