Hawa watu humdhalilisha sana yesu sema tu hawajui.Hata huu mmea umeumbwa na Mungu. Nilitaka kujua tu kweli kama ni jani la kuua uchawi. .
Nakubaliana na wewe Yesu ni njia ya kweli na uzima. .
Wamekuwa wapumbavu wao kila kitu yesu mpaka atageka joti.Alichoshindw kujua nimeuliza ili kupata maarifa mapya. Hata wakati watu wanatengeneza vidonge kutoka kwemye mimea kuna watu walisema Tiba ya kweli ni Yesu pekee. .
Zingine ni nyasi. Watu wanatakiwa kutofautisha🤣🤣Mjani ni mmoja tu duaniani wa kufukuza wachawi 😂😂😂 jaribu hii mkuu !!
Kula mjani mkuu !!Zingine ni nyasi. Watu wanatakiwa kutofautisha🤣🤣