Hili jani lina kazi gani?

Hili jani lina kazi gani?

Mti shamba ili uwe dawa, lazima ujue namna ya kkutumia.
Huko Nachingwea, barabara ya kwenda magereza, zamani kulikua mikorosho, kuna siku mwendesha baiskeli, akapishana na Dada askari magereza, ambae alijaaliwa kuwa na makalio makubwa yenye uwiano na mwili wake.

Mwendesha baiskeli alivyopishana nae kamkatia shingo, huku anamwendo wa baiskeli, ikampata ajari ya kujigonga mkoroshini, na kufariki pale pale. Ule mkorosho kufikia kesho yake, magome ya chini yalibanduliwa yote, Sijui walienda kutengeneza dawa ya nini.
 
Kwa hiyo ulipata MTU ambaye angekueleza kwa undani ukampoteza ukitegemea Wana JF?kwa Nini ulimdharau aliyekuwa anakuelezea hiyo taarifa
 
Hapana sikumdharau ila inaweza akawa na yeye aliambiwa na mtu. Hata mimi naweza mwanbia mtu huu ni dawa ila uthibitisho sina. .
 
Mti shamba ili uwe dawa, lazima ujue namna ya kkutumia.
Huko Nachingwea, barabara ya kwenda magereza, zamani kulikua mikorosho, kuna siku mwendesha baiskeli, akapishana na Dada askari magereza, ambae alijaaliwa kuwa na makalio makubwa yenye uwiano na mwili wake.

Mwendesha baiskeli alivyopishana nae kamkatia shingo, huku anamwendo wa baiskeli, ikampata ajari ya kujigonga mkoroshini, na kufariki pale pale. Ule mkorosho kufikia kesho yake, magome ya chini yalibanduliwa yote, Sijui walienda kutengeneza dawa ya nini.
Aisee hii noma
Ila kuna kipindi nilikuw naumwa sana meno. Jamaa mmoja akanamboa njoo asubuhi uchukue dawa. Asubuhi nilivyofika akachukua panga na kubangua mkorosho huku akitazama jua linapotoka. Kweli sijawahi vunja meno..

Kilichonishangaza lazima ubangue asubuhi na lazima uelekeo.uwe wa jua linapochomozea. .
 
Aisee huo mmea ni DEAL,tafadhali niambie ulipo nije Unipe hata majani 2 tu,tafadhali
 
Aisee hii noma
Ila kuna kipindi nilikuw naumwa sana meno. Jamaa mmoja akanamboa njoo asubuhi uchukue dawa. Asubuhi nilivyofika akachukua panga na kubangua mkorosho huku akitazama jua linapotoka. Kweli sijawahi vunja meno..

Kilichonishangaza lazima ubangue asubuhi na lazima uelekeo.uwe wa jua linapochomozea. .

Kubangua mkorosho kwa maana ipi Chief? Kama ni magome, akishayabangua anatafuna ama kuchemsha?
 
Back
Top Bottom