TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Wairaq na wambulu wote ni ndugu!
Dada yako anaumwa huko mkoani wanakuomba mchango hutumi unabaki tu nitawatumia,lakini kila weekend uko Kitambaa cheupe na Malaya huku mezani ukiwaongezea pombe watu usiowajua Ili uonekane una Hela!
Mama yako aliyekulea na kukusomesha baada ya baba yako kufa,umeamua kumtelekeza huko Bukoba huku akiendelea kupitia msoto,mwanaye ambaye umesoma pale UDOM & UDSM umekuwa mwanasheria lakini hata jozi moja tu ya kanga umeshindwa kumnunulia,na kama uliwahi kumnunulia basi ni miaka 7 iliyopita,kila siku kumalizia pesa Kwa Malaya ambaye amekuwa akikuumiza moyo tu lakini hukati tamaa unaendelea kujipa moyo!
Mdogo wako anatafuta pesa ya mtaji na kila akikuomba unaendelea kumpiga kalenda huku ukijua kabisa Hana msaada tofauti na wewe,wakati huo huo wewe unawanunulia wanawake zako ambao ni Malaya wa mjini simu Kali (iphone) za mamilioni na kuwalipia Kodi za pango kila baada ya miezi 3!,Unamuona mdogo wako kama msumbufu lakini huyo Malaya anaye kusumbua kila siku Unamuona kama malaika!
Baba yako akikupigia simu kuhitaji pesa kidogo Kwa ajili ya ukarabati wa Nyumba huko mkoani Unamuona kama anakuzingua,lakini hutambui ya kwamba,ndiye aliyetumia muda na fedha zake kuhangaika na wewe,au unadhani yeye pia alishindwa kuhonga wakati wake?
Wazazi wako kila siku wanakupigia simu wanahitaji Hela angalau wabadili mboga,ila Kwa Jeuri na kiburi unawasema Kwa mkeo au mumeo eti uliwatumia pesa mwezi uliopita wanatumia pesa vibaya,yaani kuwatumia wazazi wako Laki 1 baada ya miezi 3 nalo ni suala la kuwakalia vikao na mwezio?,muda huo huo hapo kwako mikuku,minyama,majuisi,na takataka nyingine zimeenea ndani ya friji,ila wazazi wako unawatumia Laki 1 baada ya miezi 3 na bado unawasimanga!,Halafu bila aibu Jumapili,Ijumaa au Jumamosi unakwenda kumuabudu Mungu ukitegemea upate thawabu!
Umezaa mtoto umeamua kumtelekeza Kwa mama yake na hutumi hata mia mbovu Kwa ajili ya mwanao eti kisa tu ulikosana na mama yake!,Kwamba wewe ukikosana na mwanamke aliyekuzalia mtoro mzuri ndiyo chanzo Cha kumkomoa mwanao?,Kumbuka wakati wewe unamkoa mwanao,
Mwanamke wako huyo uliyezaa nae,naye pia humuacha mwanao Kwa majirani Ili aende Kwa mabwana zake akachapwe nao usiku Kucha Ili walau apate pesa ya kumlisha mwanao!
Kila weekend wewe dada unatoka na marafiki zako Uchwara kwenda Viwanja kunywa Wine au Savannah na pesa yote ya vinywaji unatoa wewe,wakati huo huo mama yako mzazi hapo Morogoro anaumwa mguuu au mgongo na unashindwa kutuma hata pesa ya matibabu tu!,Kila siku vijora vipya na Madera mapya lakini mzazi wako bado anadunda na kanga au kitenge Cha mwaka 2010!
Msipobadilika,mambo MNAYOYAFANYA YATAWAHUKUMU!