Hili jina limenishinda kutamka

Hili jina limenishinda kutamka

Mombasa......kuna Kaloleni,Mwembe Tayari,Changamwe,Chuda
Nairobi....kuna Majengo,Eastleigh,Parklands,South B,Pumwani
 
Kuna watu wana majina magumu ila kuna sehemu pia kuna majina ni magumu aiseee, last weeek nilikua Tabora, kuna Wilaya moja kuna sehemu inaitwa "Shamba la Nyege", sasa mimi ndio nilikua Facilitator, wakati wanajitambulisha si ndio Mshiriki mmoja akasema anatoka Shamba la Nyege?? Duh nilichoka aiseeeee, mwezi uliopita nikafika Bukoba pia sehemu inaitwa Katerero, aaagh nikachoka, sidhani kama kuna sehemu nyingine zenye majina magumu zaidi ya haya.
Aaaa kiongozi,Tandale hapo kuna mtaa unaitwa "Mkunduge".
 
Mtombaji-moro
Kiboje-zanzibar
Senge-Singida, miaka ya 90 wakati Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiwa rais aliwahi kwenda na kuhutubia mkutano, akaanza na kusema wananchi wasenge oyeee[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa hiyo Kiboje itamke "Kiboo je"
 
Back
Top Bottom