Hili jina limenishinda kutamka

Umesahau mchamba wima
Sent using Jamii Forums mobile app
 
huko Tarime kuna sehemu inaitwa TombaNyasoko.

Miaka ya nyuma niliwaki kukutana na mjeda mmoja Lugalo alikuwa anaitwa Mkundukuwaka halafu tena miaka hiyohyo nikakutana na bwana mmoja nafikiri alikuwa anafanya kazi wizara ya maji nae aliitwa Tombaneni mwenyeji wa Songea?
 
Hebu niambie ukienda kusoma hilo jiji na chuo afu ukarudi maskani, hata maza anakuulizia mwanangu Japan mlitembelea mjini gani ama huko Japan ulisomea chuo gani ivi.
Usimame bungeni ukisema kuwa vijana wetu kadhaa wa kitanzania wamefanikisha scholarship yao to Kumamoto university
Ni Jiji, na wana mpaka Chuo Kikuu kinaitwa Kumamoto University!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…