Hili jina limenishinda kutamka

Hili jina limenishinda kutamka

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Kuna watu wana majina magumu ila kuna sehemu pia kuna majina ni magumu aiseee, last weeek nilikua Tabora, kuna Wilaya moja kuna sehemu inaitwa "Shamba la Nyege", sasa mimi ndio nilikua Facilitator, wakati wanajitambulisha si ndio Mshiriki mmoja akasema anatoka Shamba la Nyege?? Duh nilichoka aiseeeee, mwezi uliopita nikafika Bukoba pia sehemu inaitwa Katerero, aaagh nikachoka, sidhani kama kuna sehemu nyingine zenye majina magumu zaidi ya haya.
 
Zipo nyingi tu mwanza kuna nyegezi, hata watu wapale wakitaka kujitambulisha kwa kifupi watajiita wanyege, tukienda sengerema watu wale watajitambulisha kama waseng.e[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] pia mtwara kuna sehem inaitwa nanyamba
 
kusini kuna sehem kunaitwa nakapanya .. nanguruwe ..
 
Kuna watu wana majina magumu ila kuna sehemu pia kuna majina ni magumu aiseee, last weeek nilikua Tabora, kuna Wilaya moja kuna sehemu inaitwa "Shamba la Nyege", sasa mimi ndio nilikua Facilitator, wakati wanajitambulisha si ndio Mshiriki mmoja akasema anatoka Shamba la Nyege?? Duh nilichoka aiseeeee, mwezi uliopita nikafika Bukoba pia sehemu inaitwa Katerero, aaagh nikachoka, sidhani kama kuna sehemu nyingine zenye majina magumu zaidi ya haya.
Mchamba Wima Zanzibar
 
Mtombaji-moro
Kiboje-zanzibar
Senge-Singida, miaka ya 90 wakati Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiwa rais aliwahi kwenda na kuhutubia mkutano, akaanza na kusema wananchi wasenge oyeee[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom