Hili jina Makutopora limekaa vibaya sana walibadilishe

Hili jina Makutopora limekaa vibaya sana walibadilishe

Kuna MBoh-NDOLE
kuna BONG'OA-nikusweke
Kisha kuna KAHAMA nyuma, KAGONGWA mbele. 🤣😂
 
Una mentality kama yangu mfano majina yote ya miji na majiji ya USA ni MAZURI mfano
Connecticut
Ohio
Michigan
Milwaukee
Nebraska nk
 
Mchambawima na jambiani kule Zanzibar wa adilishe pia
 
Back
Top Bottom