Hili kosa linafaa kumuacha kabisa huyu binti?

Nitamuomba kwa hisani ya wana JF chonde chonde mwenzetu ana machungu amfikirie
 
Unamuacha tu? Huyu ni wa kumtafuta na kumpa gegedo la hasira kisha unampa kisago cha nguvu na kumnyang'any hela zote alizochukua.
 
Usimtilie hasira wala nini, akikupigia pokea au akikutext mjibu na umwambie aje hom umemmis. Akija mtombelee mbali halafu chukua simu yake kama ni ya maana umwambie akakuletee pesa yako. Akijifanya kuzingua unamtikisa ubongo kidogo kwa banzi mbili, usimtie Kerub! Tafadhali, usimtie Kerub
 
Hakufanya jambo zuri kuchukua hela bila ya kupewa, akili za kuambiwa uchanganye na za kwako mwisho wa siku ni maisha yako.
 
Yaani mimi siyo malaika kabisa ila kusema uongo, kuiba na kusaliti, kusingizia ni dhambi maziogopa mno maishani mwangu. Yaani siwezi. Sometimes tabia zako mbaya ndo zinakudecorate aisee.
Na kuna tabia mwanamke hapendezi kuwa nazo akii..mwanamke muongo muongo mwizi hata huku kikeni tunamkataa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na kuna tabia mwanamke hapendezi kuwa nazo akii..mwanamke muongo muongo mwizi hata huku kikeni tunamkataa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaaaa... yaan uongo una gharama balaa...

Kuna jambo moja nimejifunzaga. Na sijawahi lichukulia for granted. Aisee, kwamfano tuwe tunahojiwa jambo. Halaf nikaitwa mimi nikahojiwa nikajibu tofauti basi jua mumeisha. Namshukuru sana Mungu. Na madhaifu yangu yoote... ila kuaminika naaminika. Sipendagi kona kona. Napenda ukweli na uwazi haijalishi itanighatimu kiasi gani. Toka dhule mpk sasa. Imenipa faida sana. Na nikigundua nimekosea aisee naomba msamaha. Sitakufa wala kudhurika nikijishusha. Namshukuru sana Mungu kwa hili. Ila hasiraaa uwuuii, nna hasiraaa za haraka ila pia zinaishaga haraka. Ila uongo sitaki
 
Wait!!! Kwani ulipanga kumpa ngapi akiwa anaondoka? Au ulijiandaa na "thank you baby it was fantastic and enjoyable"
Kwani anajiuza mkuu, si ni mpenzi wake ashapewa vingi huyo. Na huwezi jua labda bibie ndo alikua analipa kwa kutoa huduma.
 
Ukiwa na akili huyo hafai kua mke wala mama wa wanao, ila ukileta yooyoo nyingi utabeba ila nnakuhakikishia huyo ni anguko lako
 
Mkuu hakuna mke hapo
 
Mkuu huyu ni yule Single Mother? Pole nilisoma comment yako mahali mwaka jana. Hao hawana moyo wa kupenda wapo kimaslahi!
 
Una mahusiano na mwizi
 
Huyo ni mwizi piga chini fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…