Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha jambaz ni beyond repair,,,atupwe selo tu ikibidiHa ha ha ha ha ha yaan huwa muna maamuzi ya kishujaaa. Yaan hutaamini na venye hakuna cha kuwafanya... ila its very bad kumtumia mtu. Its a sin. Na haisameheki hakika. Na hasa akiwa jambazi. Mwanamke bora awe mbea ila siyo jambazi
Sijawahi msachi mpenzi wangu maisha 😅😅😅😅nikitaitika kimbinu namwambia tu naomba nipe kias kadhaa ila sio kumsachi!Wa Africa tuna tabia ya kusachi vitu vya wagen, marafik, wapenz, ata wewe naima umewai kusachi
Huyo maraya mie napiga chini moja kwa moja 😅Ha ha ha ha ha ha yaan huwa muna maamuzi ya kishujaaa. Yaan hutaamini na venye hakuna cha kuwafanya... ila its very bad kumtumia mtu. Its a sin. Na haisameheki hakika. Na hasa akiwa jambazi. Mwanamke bora awe mbea ila siyo jambazi
Ha ha ha ga balaa sanaa aisee. Mungu aniepushe na hiliHahahahaha jambaz ni beyond repair,,,atupwe selo tu ikibidi
Ha ha ha ha uwuuuuuiii... hatari sanaa. Kwa kweli ndugu yanguHuyo maraya mie napiga chini moja kwa moja [emoji28]
Anapata frustrations kwa sababu bado hajajus kosa lake limeanzia wapi ...akienda taratibu atajua wapi alipojikwaa🤣Kosa la jamaa lilianzia hapa....
EEh sasa laki mbili kwenda bwerere hivyo mkuu na kuitoa sadaka kipi afadhali?Ukolon mambo leo???
Imagine dada mzuri rangi kama anaoga maziwa kumbe anapekua mifuko ya boyfriend [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Omg, mbona natetemeka mimi kwa niaba yako[emoji23][emoji23] mbona ni mwanamke jambazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] ningeweza hizi mambo ningekua na x5 yangu saa hizi. Naogopa kuitwa mwiziii[emoji23][emoji23] uwe mdada mrembo halaf mwizii... yeuuwuuuuuui
Kwa kweliNi kwel dada. ..nadhan ni akil ya hawa maslay queen wetu wa buza
Ha ha haa,kitakukuta kituHahahahah hii kali kudadadeki lazma nikung’ang’anie kweri kweri kiunon
Piga chini huyo sio mke wa kuoaWakuu ..siku mbili tatu hiz kuna majukum makubwa nimefanya sasa kwa asilimia kubwa nimekwangua mfuko wangu na akiba karibu asilimia 80...
Sasa nikabak na kapesa kadogo kakusukuma siku mbil tatu...
Sasa kuna bint huyu shemej yenu kaja hapa kwangu tokea siku ya sabasaba kaondoka leo mda si mref...huyu bint yan sijui..akil yake huwa ni nin..huyu bint aliniomba kias flan cha pesa nkamwambia sina kwasasa nmetumia hela nying mda si mref...huyu bint toka hyo siku anaongea vimaneno maneno vya kukera tokea hyo j5 had jana nkamwambia wee ndugu yangu una tatzo gan...akanijib wee kama huna hela mbona tunakula makuku na kunywa kila siku hapa...nkamwambia hvyo unavyokula umeona nimetoka nje kwenda kununua?au unakula vilivyohifadhiwa kwenye jokofu ..unapika na kula...bas toka hyo siku ya j5 anakunja mdomo tu..sasa.
Ndan kwenye surual nilikua kama na lak2 hiv..ya kusukuma gurudum ....sasa sjui kanipekua..yaan huwez amin...binti kachkua hyo hela yoote...hapa nmebak na korodani zangu tuu.
Ila nna hasira had natetemeka..halaf katuma msg..ndio nimechkua hela..
Well...kiukwel mim mtu kuchkua hela bila ridhaa sipend....yaan dah..well..hyo hela sio ishu.magoli yangu yananipa tu hata kesho asubuh...ila sasa unachkuaje hela namna hyo?
Inamana tumezoeana sana ama?
Hiv kosa kama hili si la kumuacha kabisa binti huyu au ni hasira tu wakuu..hahahah
Uzi tayar...
Mkuu kuwa mwanaume acha kuwa mvulana . Yaani mimi wife akiwa tu na shida ata ya 5000 nikimwambia toa kwenye wallet hawez fungua wallet ataniletea nitoe mwenyewe nimpe sio afungue wallet yangu. Mwanamke unavyoishi nae ndivyo atakavyo kupelekesha. Wana testigi vitu waone reaction .Wakuu ..siku mbili tatu hiz kuna majukum makubwa nimefanya sasa kwa asilimia kubwa nimekwangua mfuko wangu na akiba karibu asilimia 80...
Sasa nikabak na kapesa kadogo kakusukuma siku mbil tatu...
Sasa kuna bint huyu shemej yenu kaja hapa kwangu tokea siku ya sabasaba kaondoka leo mda si mref...huyu bint yan sijui..akil yake huwa ni nin..huyu bint aliniomba kias flan cha pesa nkamwambia sina kwasasa nmetumia hela nying mda si mref...huyu bint toka hyo siku anaongea vimaneno maneno vya kukera tokea hyo j5 had jana nkamwambia wee ndugu yangu una tatzo gan...akanijib wee kama huna hela mbona tunakula makuku na kunywa kila siku hapa...nkamwambia hvyo unavyokula umeona nimetoka nje kwenda kununua?au unakula vilivyohifadhiwa kwenye jokofu ..unapika na kula...bas toka hyo siku ya j5 anakunja mdomo tu..sasa.
Ndan kwenye surual nilikua kama na lak2 hiv..ya kusukuma gurudum ....sasa sjui kanipekua..yaan huwez amin...binti kachkua hyo hela yoote...hapa nmebak na korodani zangu tuu.
Ila nna hasira had natetemeka..halaf katuma msg..ndio nimechkua hela..
Well...kiukwel mim mtu kuchkua hela bila ridhaa sipend....yaan dah..well..hyo hela sio ishu.magoli yangu yananipa tu hata kesho asubuh...ila sasa unachkuaje hela namna hyo?
Inamana tumezoeana sana ama?
Hiv kosa kama hili si la kumuacha kabisa binti huyu au ni hasira tu wakuu..hahahah
Uzi tayar...
Kitu gani labda unisukumeHa ha haa,kitakukuta kitu
Kuminya nyanya hizoKitu gani labda unisukume
Umemlilia Sana kumbeHahahahhaa...sjui kajiamin nin..hajawai hata fanya hiv...hata sku1...na nimemlilia sana kwamba hali ni mbaya. Atulie ntampa tu hyo hela..ujue wanawake hawana huruma kaka
Nalichukua hili kaka.Huyo mwanamke uwe nae makini sana, maana kama anadiliki kukuibia hadi pesa ya akiba, ipo siku umeshatoboa ki maisha anakwambia umnunulie gari, kumbe we pesa ushaipangilia kufanya mambo mengne, ndo anakuletea majambazi wakupole ili apate mgao kutoka kwa majambazi hao! Maana inavyoonekana huyo mwanamke anaangalia zaidi mambo yake yaende, hajui kuwa pesa huwa inamipango mingi ambayo inaweza kuwa ya muhim kuliko matumizi yake!