GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Jamani tunapojitambulisha hasa katika Matukio au Maeneo mbalimbali hatupaswi kusema ....Majina yangu ni GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE JamiiForums bali tunatakiwa kusema / kujitambulisha kwa kusema.....Jina langu ni GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE JamiiForums sawa? Kosa hili likifanywa na Watu wasiosoma wala sishangai na sitoumia ila naumia kwakuwa linafanywa na Watu ambao Kutwa wanatamba Wamesoma na wanamiliki Degrees, Masters na Doctorates zao.