Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Wasalaam,
πππ
Habari ndiyo hio, bandari ikiuzwa kama msemavyo wabongo tetesi basi jiandaeni kwa utumwa usiomithirika, sioni Tanzania iliyosalama, sioni muungano ukiendelea.
Mkimuangalia mtavuna mabua alianza ngorongoro, sasa kalekea chumbani kwenye roho ya nchi.
Endeleeni kumchekea Hali si shwari mtu alieshindwa kujiendesha anakimbilia mikopo ili kuficha matobo na kushindwa.
Tanzania nchi ya wapumbavu na malofa. Ningemtukana mtu Ila ngoja.
Tanzania yamejaa mafunza tu vichwa vyote bongo zimeliwa.
Mzee aliuza loliondo for 99years, Malkia wa kuruka nao kaongeza ngorongoro, na bandari. Ulofa ukizidi ni sawa na akili za mashoga.
Nawasilisha .
πππ
Wadiz