Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Sema tunajenga chama na sirikalitunajenga uchumi
Mwenyekiti wao alikuwa kichaa, watu wenye akili timamu wanaweza vipi kuongozwa na kichaa na wakataka kumuongezea muda ?Chama Cha Mafisadi kiko kazini
Vita ya kiuchumitunajenga uchumi
Mkuu Burundi petrol 1700Salaam
Inashangaza bei ya mafuta ya petroli nchini Zambia kuwa nafuu kuliko hapa Tanzania.
Inaeleweka Zambia hawana bandari hivyo wanapokea shehena ya mafuta kutoka bongo, ifike wakati serikali ya CCM iwe na huruma itende haki.
Hapa anaeumia sio mwenye pesa, ni mnyonge masikini wa hali ya chini.
Nabado,chamtemakuni lazima kukiona.Mkuu Burundi petrol 1700
Unakula,ukishiba waachie na wengne.Just simple usifanye mamb kuwa magumu sana[emoji848][emoji17]hivi ile ishu ya bomba la mafita kigamboni imeishia wapi
naona kimya kabisaaaa
hii nchi ni shamba la bibi