Hivi hao unaoita mabinti za watu ndio akina Mobeto,Wema n.k?.Nahisi una lingine maana hata wazazi wao hawawezi lalamika kwani wako huru kuchagua mwanamme wa kuwatwanga.Kwanza naomba mada hii iachwe hapa jukwaa la siasa.
Huyu msanii wa kizazi kipya na kipenzi cha wafanya siasa pia ni ana ghafirika sasa!Tabia ya ufusika na kuchezea mabinti za watu na kuwadhihaki si jambo jema na si mfano mwema kwa msanii mkubwa km yeye.
Km taswira kwa wengine hapaswi kuwa mtu wa tabia hizo azifanyazo sasa.
Njaa zao ndo zinawaponzaAnachezea dada zetu na kuwadhalilisha kwa vinoti vyake!
Wambie dada zenu wabane mapaja waache tamaa.Anachezea dada zetu na kuwadhalilisha kwa vinoti vyake!
Tunashukuru kwa kutusikiaView attachment 604167 View attachment 604170 nashukuru sana kaka ujumbe wako nimeupata tatizo walikuwa wananitongoza wenyewe na mie ni rijari simba nikiona swala najisikia kumla afu watoto wenyewe wakali hata ww ungewakataa ningekuona hanithi
ila kwa sasa nimejifunza na nimetulia naomba radhi kwa fans wangu wote