Hili la Diamond ni la Kukemewa na kila mtu!

Hili la Diamond ni la Kukemewa na kila mtu!

Acha kulalamika. Tafuta pesa. Sijawahi kusikia kawabaka hao dada zenu.
 
kama wanajipeleka wenyewe awafanye nn. Kujidhalilisha wanajidhalilisha wenyew kuliko huyo mnayemsingizia. Tupe mfano wa mwanamke ambaye Diamond amemdhalilisha nikupe mifano ya alivyojidhalilisha huyo mwanamke zaidi
BADO WAPO KWENYE MAOMBI NINI AU WAPO SALOON MBONA HAWAJAANZA KUJIBU! TUPENI MIFANO YA MNAOSEMA WAMEDHARILISHWA TUWAPE FACTS!! MNAMUONEA MTOTO WA WATU NA TAMAA ZENU ZA PESA.MBONA ZAMANI MLIKUWA MNASEMA ANA SURA MBAYA NA DOMO KUBWA! .......DIAMOND PIGA KAZI NA NDIO MAANA ZARI ANAWATUKANA.SASA KASEMA HAWAACHANI.ZARI NI KIBOKO
 
Diva tu ndo alimuweza co
Wa teyp yake
 
Kwani hao unaowaita mabinti wanachezewa hawajui wanachokifanya? Mibinti mijitu mizima eti unakuja kuitetea. Mibinti inayojua hata kushika mimba, Mibinti inayojua kukaa uchi eti nayo unasema inadhalilishwa. Kwani huwa wanabakwa?
 
Kitakachomkuta ni kama bartimola aliyeimba wimbo wa Tarzan boy yetu macho.
 
Mkuu mbona unamuonea wivu mwanaume mwenzio
 
Kwanza naomba mada hii iachwe hapa jukwaa la siasa.

Huyu msanii wa kizazi kipya na kipenzi cha wafanya siasa pia ni ana ghafirika sasa!Tabia ya ufusika na kuchezea mabinti za watu na kuwadhihaki si jambo jema na si mfano mwema kwa msanii mkubwa km yeye.

Km taswira kwa wengine hapaswi kuwa mtu wa tabia hizo azifanyazo sasa.
Ni nani aliye msafi amnyooshee kidole Diamond?!?!!?
 
Kwanza naomba mada hii iachwe hapa jukwaa la siasa.

Huyu msanii wa kizazi kipya na kipenzi cha wafanya siasa pia ni ana ghafirika sasa!Tabia ya ufusika na kuchezea mabinti za watu na kuwadhihaki si jambo jema na si mfano mwema kwa msanii mkubwa km yeye.

Km taswira kwa wengine hapaswi kuwa mtu wa tabia hizo azifanyazo sasa.
Kwani huwa anawabaka?maadamu wa nakubaliana wenyewe mm sioni tatizo kama binti anajitambua na anafahamu huyo dai ametoka na wanawake kibao na yy akajipeleka mwache akaipate na domo hawadhalilishi Bali mabinti wenyewe ndio tunaojidhalilisha
 
Kwanza naomba mada hii iachwe hapa jukwaa la siasa.

Huyu msanii wa kizazi kipya na kipenzi cha wafanya siasa pia ni ana ghafirika sasa!Tabia ya ufusika na kuchezea mabinti za watu na kuwadhihaki si jambo jema na si mfano mwema kwa msanii mkubwa km yeye.

Km taswira kwa wengine hapaswi kuwa mtu wa tabia hizo azifanyazo sasa.
Nyie wadada bhana kwa kuoneana wivu mpo vizuri!
 
Back
Top Bottom