yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Acha kulalamika. Tafuta pesa. Sijawahi kusikia kawabaka hao dada zenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BADO WAPO KWENYE MAOMBI NINI AU WAPO SALOON MBONA HAWAJAANZA KUJIBU! TUPENI MIFANO YA MNAOSEMA WAMEDHARILISHWA TUWAPE FACTS!! MNAMUONEA MTOTO WA WATU NA TAMAA ZENU ZA PESA.MBONA ZAMANI MLIKUWA MNASEMA ANA SURA MBAYA NA DOMO KUBWA! .......DIAMOND PIGA KAZI NA NDIO MAANA ZARI ANAWATUKANA.SASA KASEMA HAWAACHANI.ZARI NI KIBOKOkama wanajipeleka wenyewe awafanye nn. Kujidhalilisha wanajidhalilisha wenyew kuliko huyo mnayemsingizia. Tupe mfano wa mwanamke ambaye Diamond amemdhalilisha nikupe mifano ya alivyojidhalilisha huyo mwanamke zaidi
Ana type gani uyo naye......full kujifanya matawi kumbe rohon daily linaumiaDiva tu ndo alimuweza co
Wa teyp yake
Nawasubiri hao watoto wake niwat...mbee kama anavyowafanya watoto wa watu!Anachezea dada zetu na kuwadhalilisha kwa vinoti vyake!
Ni nani aliye msafi amnyooshee kidole Diamond?!?!!?Kwanza naomba mada hii iachwe hapa jukwaa la siasa.
Huyu msanii wa kizazi kipya na kipenzi cha wafanya siasa pia ni ana ghafirika sasa!Tabia ya ufusika na kuchezea mabinti za watu na kuwadhihaki si jambo jema na si mfano mwema kwa msanii mkubwa km yeye.
Km taswira kwa wengine hapaswi kuwa mtu wa tabia hizo azifanyazo sasa.
Kwani huwa anawabaka?maadamu wa nakubaliana wenyewe mm sioni tatizo kama binti anajitambua na anafahamu huyo dai ametoka na wanawake kibao na yy akajipeleka mwache akaipate na domo hawadhalilishi Bali mabinti wenyewe ndio tunaojidhalilishaKwanza naomba mada hii iachwe hapa jukwaa la siasa.
Huyu msanii wa kizazi kipya na kipenzi cha wafanya siasa pia ni ana ghafirika sasa!Tabia ya ufusika na kuchezea mabinti za watu na kuwadhihaki si jambo jema na si mfano mwema kwa msanii mkubwa km yeye.
Km taswira kwa wengine hapaswi kuwa mtu wa tabia hizo azifanyazo sasa.
Nyie wadada bhana kwa kuoneana wivu mpo vizuri!Kwanza naomba mada hii iachwe hapa jukwaa la siasa.