Hili la Emmanuel Okwi na mashabiki wa Simba limenichekesha sana!.

Simba banaa, wanamleta boko huku ajibu anasepa. Akili zao anajua rage
Sio Rage tu, hata Manara anazijua..

Kwa kawaida huwezi wadanganya mashabiki mmepeleka Rufaa FIFA ikiwa inajulikana dhahiri kuwa ni usanii.
 
Yani mimi ipo siku Yanga itaniua jamani! Hasa pale tunapofikia hatua ya matuta huwa ni-dhohoful khali. [emoji24] [emoji85]
Basi mara nyingi tunapata habari kwenye vyombo vya habari.
Lakini huku mtaani matukio ni mengi zaidi.
Watu wanazirai, wanakata sauti, wanagombana, wengine wanajificha mwezi mzima na wanatoka alfajiri na kurudi usiku nyumbani kukwepa kudhihakiwa, wengine wanapata wapenzi.
Wengine wanatoa taraka nk.
Pindi timu hizi zikifungana.

Ni ajabu na kweli.
 
Tangu nianze kushabikia YANGA miaka ya 90's sijawahi ona shabiki wa Yanga akiwa na furaha bila kunyanyua VPL....

Hizo nyingine ni story zako!
Hujaelewa
Sijasema washabiki wa Yanga hawafurahii kuchukua ubingwa wa VPL
Nimesema haijawahi kutokea mshabiki wa timu hizi akafurahi kwa kiwangi cha juu hadi kifo kikamchukua kwa ajiri ya furaha ya kuchukua ubingwa wa ligi.
Siku zote tunaona pale Taifa kwa Chichi Somboko au kwa Kipara Shop, Yanga wanapochukua ubingwa wa ligi, ngoma zinachezwa, wadada wanacheza mwanzo mwisho kwa furaha.
Lakini hajawahi kufa mshabiki kwa furaha ile.
Wala haijawahi kutokea kwa mpenzi yeyote, Yanga inapokosa kuchukua ubingwa wa Ligi,, akahuzunika hadi kifo kikamchukua
Nimesema huzuni au furaha ya kiwango cha juu inatokea pale ambapo mbili hizi zinapofungana.
Bosi, unaninikuu sehemu ndogo ya mada halafu unatoa hitimisho
Unapoteza maudhui ya mada husika.
Kila timu ikichukua ubingwa wa ligi inafurahi.
 
Hili ndo lakuchekesha zaidi,Bin kleb kasema anapanda ndege jioni hii kwenda uganda anamsajili alafu anampeleka singida united maana pale yanga awezi pata namba
 
Kaona kapita kimyakimyaaaaa hahahaaaaa hawa wenzetu hawako serious kabisa.
Tatizo ukata...
Hivi ile Rufaa Yao ya Fifa umefikia wapi? Ha ha haaaa.. Mpira sio kwaya.
 
Na wakumbuke tulipowafunga fainali ya kagame mwaka 2011 goli la yule mghana yeye alikuwemo ndani kiufupi hana rekodi ya kutisha sana mbele ya yanga ni afadhali john boko ni tishio japo mashabiki wa mbumbumbu FC hawatakubali
 
Yani mimi ipo siku Yanga itaniua jamani! Hasa pale tunapofikia hatua ya matuta huwa ni-dhohoful khali. [emoji24] [emoji85]
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
simba wanampendea okwi tu akiifunga yanga basi tu..kwanza kazeeka
 
simba wanampendea okwi tu akiifunga yanga basi tu..kwanza kazeeka
Okwi hivi sasa tunaye hapa Msimbazi, hajasaini bado, mazungumzo yanaendelea, nadhani mapema wiki ijayo anamwaga wino.
Simba SC tunawapenda wachezaji wenye mapenzi na timu yetu.
Ni heri tumsajiri mchezaji mzee anayeipenda timu kuliko vijana mamluki wenye shida ya pesa pekee ambao huwa wanaighalimu sana timu.
Tumeshajifunza kwa Yondani, Kessy, na hao wengine.

Simba nguvu moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…